Ukiona inakufaa chukua

Ukiona inakufaa chukua

Habari za mda huu wanajf!! Ni matumaini yangu mu wazima...!!

Natumai ni usiku tulivu kwenu hasa kwa wale wapendanao mliopo pamoja mda huu hata mliotenganishwa na umbali tu!! Wote ni wapenzi na mapenzi ni hisia zilizopo ndani yenu.

Leo ningependa kuongelea kitu kuridhika ndani ya mahusiano yenu. Napoongelea kuridhika nagusa sehemu nyingi na mbalimbali. Lakini muhimu ni hapa.....
Tunapoamua kuingia na kutulia katika mahusiano flani ni vyema kuridhika na mpenzi wako. Kuwa mke na mme ni hatua kubwa sana kimahusiano...

Ewe Mwanamke ridhika na mmeo...uwezo wake sio wa kuleta nyama kila siku,mboga saba saba kila mchana na usiku,kila style ya nywele,nguo,viatu usipitwe!! Kisa fulani anatembelea verrosa basi na we unataka!! na ilhali yeye mwenyewe hata baiskeli hana!
Jamani wapenzi,kumbuka huyo ni mmeo au ni mwanaume ulie na malengo nae...jitahidi kumuelewa mazingira yake na msome vizuri
Mwanaume haitaji kukwazwa kwa vitu vidogo vidogo,hata wakati mwingine kuwa mpole kupisha jambajamba lipite,hata kama unakwazika zuia hasira kwani wote ni binadamu, badala ya kupoteza mda mkibishana na kuumizana vichwa kwa ugomvi usio na maana ni bora ukasimama nyuma yake ukamsaidia unapohisi amekwama!! Pesa zinatafitwa mkishirikiana na mkaelewana mtafika mbali.

Mwanaume pia,nyinyi ni watu muhimu sana kwetu!!..mnapoamua kuwa na sisi sio siri mnafanya uamuzi wa busara sana hadi hatua ya kutuweka ndani!! Kwenu ntakugusia swala la ukweli na uwazi!! Wengine mnayakaribisha mazito wenyewe kwa kuwaonyesha wenzi wenu mna uwezo wa kuwafanyia makubwa wakati ukweli mnapumulia mipira!! Swala la ukweli zuri sana kukiwa na uelewa pia...
MME: mmh mke wangu.... leo sio siri hali ya mfuko wangu mbaya!! Hela iliyopo ni ya mkate tu!!
MKE: usijali baba watoto wangu,ntachemsha chai tu na mkate tutakula tutalala..
Kwa upendo na tabasamu...maisha yanakuwa mazuri,upendo,uaminifu,ukweli na uwazi,uvumilivu na mengine mengi.
Hakika hata mungu atawabariki.

Nawapenda wote na nawatakia mahusiano mema

Kula "like" 100....well said!
 
Mzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.

Hapana mamy kama unamuona ana uwezo huo sawa pia ni vema mkatafuta wote kuliko kumdai pengine utaamuumiza!!
Ni sawa na baba uwezo wake usome shule za kata we unataka marian eeeh huoni ni mtihani mtoto wa mwanamke mwenzio?!
 
Kuna tofauti kubwa san kati ya mwanamke na msichana!! wasichana bado wanawaza nikitoka kwa john nirukie kwa juma kisa kanunua gari jipya atakuwa na hela!! Wakati huyo john uliemuacha mda unaowaza kukimbilia kwa john ungetumia kumpa akili ya ziada juu ya maendeleo yenu!! Gari ni nini kama upendo wa kweli upo?! ...subira yavuta heri
Mimi ninarafiki yangu ameoa kama miaka minne imepiatayaani anamuheshimu mke wake kupitiliza(sio kama zile za libwata hapana) kwa sababu anasema mke wake amemvumilia sana..

maana jamaa alikuwa chuo hana kitu na mkewe ni mzuri kweli kwa muonekano wa nje, lkn yule mchumbake alikuwa nae bega kwa bega..kuna kipindi mzee wake alifariki jamaa ikabidi abebe jukumu la kumaomesha mdogo wake chuo cha unurse muhimbili..

na yule mchumbaake akawa anamsaidia na bumu lake...jamaa alimaliza kaja akaajiriwa kwenye mradi unaolipa..sasa hivi maisha yao yanakwenda vzr mno..jamaa anawasaidia ndugu za mke wake kama wake(na nao ni waelewa sana)..

jamaa anampenda na kumuheshimu mke wake kufuru(kama mungu wa pili)...mwandishi wa vitabu vya mahusiano steve harvey anasema..wanaume wengi na wanawake wanafanya makosa makubwa sana kwa sababu ya kushidwa kuangalia potential na behavior..

.tunaishia kuwa na watu ambao wamefail na wanatufelisha kwenye maisha ya mahusiano...tunaishia kupata maumivu yasoyoisha lakini pia tunaishi misarable life in our glorious age..30-40..unakuta mtu anaishi na mtu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni kubishana tu..hakuna utulivu..
 
Habari za mda huu wanajf!! Ni matumaini yangu mu wazima...!!

Natumai ni usiku tulivu kwenu hasa kwa wale wapendanao mliopo pamoja mda huu hata mliotenganishwa na umbali tu!! Wote ni wapenzi na mapenzi ni hisia zilizopo ndani yenu.

Leo ningependa kuongelea kitu kuridhika ndani ya mahusiano yenu. Napoongelea kuridhika nagusa sehemu nyingi na mbalimbali. Lakini muhimu ni hapa.....
Tunapoamua kuingia na kutulia katika mahusiano flani ni vyema kuridhika na mpenzi wako. Kuwa mke na mme ni hatua kubwa sana kimahusiano...

Ewe Mwanamke ridhika na mmeo...uwezo wake sio wa kuleta nyama kila siku,mboga saba saba kila mchana na usiku,kila style ya nywele,nguo,viatu usipitwe!! Kisa fulani anatembelea verrosa basi na we unataka!! na ilhali yeye mwenyewe hata baiskeli hana!
Jamani wapenzi,kumbuka huyo ni mmeo au ni mwanaume ulie na malengo nae...jitahidi kumuelewa mazingira yake na msome vizuri
Mwanaume haitaji kukwazwa kwa vitu vidogo vidogo,hata wakati mwingine kuwa mpole kupisha jambajamba lipite,hata kama unakwazika zuia hasira kwani wote ni binadamu, badala ya kupoteza mda mkibishana na kuumizana vichwa kwa ugomvi usio na maana ni bora ukasimama nyuma yake ukamsaidia unapohisi amekwama!! Pesa zinatafitwa mkishirikiana na mkaelewana mtafika mbali.

Mwanaume pia,nyinyi ni watu muhimu sana kwetu!!..mnapoamua kuwa na sisi sio siri mnafanya uamuzi wa busara sana hadi hatua ya kutuweka ndani!! Kwenu ntakugusia swala la ukweli na uwazi!! Wengine mnayakaribisha mazito wenyewe kwa kuwaonyesha wenzi wenu mna uwezo wa kuwafanyia makubwa wakati ukweli mnapumulia mipira!! Swala la ukweli zuri sana kukiwa na uelewa pia...
MME: mmh mke wangu.... leo sio siri hali ya mfuko wangu mbaya!! Hela iliyopo ni ya mkate tu!!
MKE: usijali baba watoto wangu,ntachemsha chai tu na mkate tutakula tutalala..
Kwa upendo na tabasamu...maisha yanakuwa mazuri,upendo,uaminifu,ukweli na uwazi,uvumilivu na mengine mengi.
Hakika hata mungu atawabariki.

Nawapenda wote na nawatakia mahusiano mema

My Princess, my Queen!!!
Nimekusikia, I will play my part & u should du urs as well!!!
I will stay by ur side forever!!!!!!

I luv u Mom Day"""""""""
 
Mzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.
Hivi ukidai mambo makubwa kwenye ndoa au mahusiano ndo unamfanya mtu achangamke auunamchanganya..? lakini weww ujiulize ulipotoka mlikuwa na uwezo wa hiyo range..? pia jiulize what are u bringing in the table kutengeneza mazingira ya kupatikana hizo nywele za kibrazili nk..? mwisho unatakiwa ujue ur definition of happyness..? uone kama mtu haitamsuit bora kumuacha tu kuenda kwa mtu anaeauit ur definition of happiness....ukipata nafasi angalia movie ya will smith inaitwa persuit for happiness ni nzuri sana
 
Pokea like kubwa
 
Kuna tofauti kubwa san kati ya mwanamke na msichana!! wasichana bado wanawaza nikitoka kwa john nirukie kwa juma kisa kanunua gari jipya atakuwa na hela!! Wakati huyo john uliemuacha mda unaowaza kukimbilia kwa john ungetumia kumpa akili ya ziada juu ya maendeleo yenu!! Gari ni nini kama upendo wa kweli upo?! ...subira yavuta heri

Vuta subira kipenzi changu Mom Fay, maisha yatajengwa na Mimi n Wewe. kama wababeli walivoujenga. ukuta. wao!!!!
Safari hii ni ndefu lkn nakuahidi via JF. THE LAST WILL TASTE. THE SWEETEST WORLD!!!
 
The good thing ni kwamba karidhika na mazingira.
Hivi ukidai mambo makubwa kwenye ndoa au mahusiano ndo unamfanya mtu achangamke auunamchanganya..? lakini weww ujiulize ulipotoka mlikuwa na uwezo wa hiyo range..? pia jiulize what are u bringing in the table kutengeneza mazingira ya kupatikana hizo nywele za kibrazili nk..? mwisho unatakiwa ujue ur definition of happyness..? uone kama mtu haitamsuit bora kumuacha tu kuenda kwa mtu anaeauit ur definition of happiness....ukipata nafasi angalia movie ya will smith inaitwa persuit for happiness ni nzuri sana
 
Nakuunga mkono sana mkuu..kaongea vitu adimu kuvisikia kutoka kwetu sisi vijana wa kisasa..ni somo zuri sana..
sure mkuu!unaweza ukaimagine dunia ingekua mahali salama pa kuishi kiasi gani kama tungefuata mfano wa Mom Fay,binafsi naomba kila siku Mola anijalie kuwa Mume classic kwa kweli!
 
Tatizo hawatidhiki ukiliwa sana hamna kuridhikaaa
 
Vuta subira kipenzi changu Mom Fay, maisha yatajengwa na Mimi n Wewe. kama wababeli walivoujenga. ukuta. wao!!!!
Safari hii ni ndefu lkn nakuahidi via JF. THE LAST WILL TASTE. THE SWEETEST WORLD!!!

Mom Fay unamabeby wangapi ???loh!
 
Last edited by a moderator:
Mzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.

Kuzaliwa na baba maskini ni mpango wa Mungu, kuolewa na mwanaume maskini ni kiherehere chako mwenyewe.
 
Habari za mda huu wanaJF, ni matumaini yangu mu wazima. Natumai ni usiku tulivu kwenu hasa kwa wale wapendanao mliopo pamoja mda huu hata mliotenganishwa na umbali tu!! Wote ni wapenzi na mapenzi ni hisia zilizopo ndani yenu.

Leo ningependa kuongelea kitu kuridhika ndani ya mahusiano yenu. Napoongelea kuridhika nagusa sehemu nyingi na mbalimbali. Lakini muhimu ni hapa.

Tunapoamua kuingia na kutulia katika mahusiano flani ni vyema kuridhika na mpenzi wako. Kuwa mke na mme ni hatua kubwa sana kimahusiano.

Ewe Mwanamke ridhika na mmeo, uwezo wake sio wa kuleta nyama kila siku, mboga saba saba kila mchana na usiku, kila style ya nywele, nguo, viatu usipitwe!!

Kisa fulani anatembelea verrosa basi na we unataka!! na ilhali yeye mwenyewe hata baiskeli hana! Jamani wapenzi, kumbuka huyo ni mmeo au ni mwanaume ulie na malengo nae jitahidi kumuelewa mazingira yake na msome vizuri.

Mwanaume haitaji kukwazwa kwa vitu vidogo vidogo,hata wakati mwingine kuwa mpole kupisha jambajamba lipite, hata kama unakwazika zuia hasira kwani wote ni binadamu, badala ya kupoteza mda mkibishana na kuumizana vichwa kwa ugomvi usio na maana ni bora ukasimama nyuma yake ukamsaidia unapohisi amekwama!!

Pesa zinatafitwa mkishirikiana na mkaelewana mtafika mbali. Mwanaume pia ,nyinyi ni watu muhimu sana kwetu mnapoamua kuwa na sisi sio siri mnafanya uamuzi wa busara sana hadi hatua ya kutuweka ndani!!

Kwenu ntakugusia swala la ukweli na uwazi!! Wengine mnayakaribisha mazito wenyewe kwa kuwaonyesha wenzi wenu mna uwezo wa kuwafanyia makubwa wakati ukweli mnapumulia mipira.

Swala la ukweli zuri sana kukiwa na uelewa pia.

MME: mmh mke wangu leo sio siri hali ya mfuko wangu mbaya!! Hela iliyopo ni ya mkate tu!!

MKE: usijali baba watoto wangu, ntachemsha chai tu na mkate tutakula tutalala..

Kwa upendo na tabasamu...maisha yanakuwa mazuri,upendo,uaminifu,ukweli na uwazi,uvumilivu na mengine mengi. Hakika hata mungu atawabariki.

Nawapenda wote na nawatakia mahusiano mema

Ahsante kwa ushauri.....Ila wewe jee uko hivyoo?

Me inanifanya niwaogope sana wale ambao wanatumia dini kuficha maovu yao....kumbe ni waovu wakubwa
 
Mzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.

umeongea, kila haki ina wajibu, nadhani wenye macho wameelewa,
 
Mmh..kama anataka range yeye anaweka nini mezani..yeye mwenyewe ameka kirange range au usistadu mwingi alafu anataka range...au she is step up like real strong woman with ideas and inputs to get that range..
 
Back
Top Bottom