Leonardmwanja
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 236
- 35
Hatari kwelikweli
Nilishukuru kwa sala kimoyomoyo hspo mkuu.ulitoka hai hapo mkuu masopakyindi
Katika hii barabara ya Dsm-Mbeya, mabasi ndiyo yanayoendeshwa ovyo kabisa, na wanaenda kwa mtindo wa kushindana.Nashauri kabla ya kuruhusiwa kuendesha Lori au Gari la abirMadereva wetu aia, ni muhimu kila dreva apimwe akili:
View attachment 67294
ulitoka hai hapo mkuu masopakyindi
Nashauri kabla ya kuruhusiwa kuendesha Lori au Gari la abirMadereva wetu aia, ni muhimu kila dreva apimwe akili:

Mhhh! Hapo kwe kweli ni hatari,manake kwenye hyo kona ikija kitu ingine kama hyo-balaa!Ndiyo hivyo tena, mlima wa Iyovu huo, madereva wetu wa ma bus utafikiri wana roho replaceble, za plastic au za mchina:
View attachment 67385