😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Aaaaah mimi nimeshakitumia sana hicho miaka ya giza na mpaka nikaozesha godoro 😝😝😝😝
Inawezekana kabisa ni kama zile ndoto za kuota unataka kufanyiwa jambo baya kisha unakemea kwa jina la Yesu aliye haiHivi kumbe hiyo ndoto ya kuota choo ndo inavyomaanisha? Mimi nafikiriaga hapo tu kuwa usikitumie sababu utajikuta umejisaidia kitandani ila hiyo tafsiri nyingine nilikuwa siijui shukrani mkuu kwa ufafanuzi
Ila swali langu ni hili mtu atawezaje kujizuia ndotoni ikiwa wakati anaota anakuwa hajielewi ukiachilia mbali zile ndoto ambazo mtu anakuwa anajua kabisa kuwa anaota na anakuwa anajielewa naongelea zile ambazo anakuwa hajielewi anawezaje kujizuia kutumia choo?
IPO lakini kwa uchache unakuwa ndotoni kisha huko ndotoni unaota tena tena ndoto.. Hivi unatambua wewe ni nafsi zaidi ya moja? Pitia mada hizi utaelewa zaidiNipo nje ya mada ila katika ndoto,
Iliwahi kunikuta hali hii, Nililala katika hali ya uhalisia nikapata ndoto, nikaota katika ndoto ya kwanza ya kwamba nimelala huku naota ambapo ndoto ya pili nikaota tena nimelala naota.
Yani ndoto moja ikawa na mtoto na mjukuu.
Kila nikijaribu kuwaelezea watu wananiona kama mwehu, haya mambo husababishwa na nini?
Nipo nje ya mada ila katika ndoto,