cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,977
- 192,600
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je sisi ambao tukisikia tu mziki hata kabla ya kuonja beer tunaanza kucheza tucomment pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je sisi ambao tukisikia tu mziki hata kabla ya kuonja beer tunaanza kucheza tucomment pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbeta zimekomaa? Ukipata mbeta iyokomaa afu imechongwa vizuri, ulanzi wake unakua na povuu sasa kunoga kwake hapo lyolyolyo,Yeeeeeeee karibu mkuu lingusenguse, Leo nimekunywa mno ulanzi yaani hapa nimo ndani ya JF bcs ya addiction yangu, mbeta zote nimeonja ,ni special day kwangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣According to you