Kuna rafiki yangu ameniambia eti ukinunua gari Zanzibar ukija Dar unalipia ushuru, nimembishia sana hakuishia hapo tu, akasema hata TV, Fridge,Radio zote utalipia ushuru, sasa najiuliza nini maana ya Muungano? kwani Zanzibar sio Tanzania? eti wadau hii ni kweli???