Ukiniuliza nani ungependa awe Rais wa Tanzania

Makongoro anafaa sana kuliko wote. Waziri mkuu wake napenda awe Magufuri. Hapo vipi?
 
Tatizo la nchi hii ni mfumo mkuu ambao umeshindwa miaka 50 ya uhuru,Pale ata Obama ataonekana hovyo tu kwa rushwa zenu magamba
 
Uligawiwa nyumba mini? Mbona husemi kuhusu kashfa ya meli ya kigamboni kwenda bagamoyo?
Mbona huongelei kashfa ya nyumba za serikali?
Mbona hutukumbushi kauli ya kama huwezi kulipa feri piga mbizi?

mnamchafua sbb mnauogopa lkn.mtu peke anayekubalika na mamilion ya watanzania ni MAGUFULI KWA UCHAPA KAZI WAKE ULIOTUKUKA UNAMGUSA TAJIRI NA MASIKINI,CCM msifanye kosa watanzania tunamtaka Magufuli,hivyo vikashifa havina mashiko wala ushaidi na amesema atavijibu maana vinaenezwa na wabaya wake.
 
Ananukianukia
 
Jitambue ili ushiriki katika kuupiga vita ufisadi nchini badala ya kufanya maamuzi ya kukurupuka.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwa-ufisadi-uuzaji-wa-nyumba-za-serikali.html

Nitakujibu ni Dr. John Pombe Magufuli, pamoja na ushabiki wangu ndani ya Ukawa lakini nimeshindwa kuushawishi moyo wangu uweze kukubali kuwa kuna kiongozi zaidi ya Magufuli anaweza kuliongoza vema Taifa hili

Kwa mara ya kwanza nitapiga kura ya Urais kwenda CCM iwapo huyu ndiye atakayekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.

Kwanini Magufuli, ni mtendaji na msimamizi nzuri ambaye hana wa kumfananisha naye kwa ubora wake wakati fulani nikiwa mfanyakazi ktk halmashauri fulani nilishuhudia jinsi fedha za RF zilivyokuwa zinaogopwa.

Kama binadamu Magufuli ana mapungufu yake lakini ubora wa Magufuli na umuhimu wake kwa nchi hii unazidi mapungufu aliyo nayo, Kila la heri Magufuli.
 
Naomba niwaambie ukweli kutoka moyoni..yaani walichofanya ccm ni kama walichofanya ukawa mwaka 2010...
Watu wengi walikuwa wanatamani kuwa na kiongozi kama magufuli Ila hawqsemi cause hawajiamini kama anaweza pita sababu Hana makundi...
Yaani wametupa kazi ya ziada sisi ukawa aiseee
 
Maadam hatutaongozwa na Mswahili mwingine kwangu mimi safi tu,awe Dr Magufuli au Dr Slaa.Hawa Waswahili wametuharibia sana nchi.
 
Raisi sio mtu mnoja ni mfumo wa chama kizima na serikali yake hivyo mtu mmoja hawezi ku control watu wachama na wananchi hivyo anakuwa under control dawa ni kutoa mfumo mzima ili maisha yaendelee upya
 
Ukiwa na kiongozi mbovu au dhaifu chama na serikali vitakuwa ovyo. Lakin ukiwa na kiongozi imara na mzur chama na serikali vitakuwa katika hali nzuri. Tusidanganyane

Wapi umeona viongozi imara wanaongoza taasisi dhaifu?

Kiongozi imara atabadilisha system ikae vizur. Lasivyo atakuwa wa ovyo

Mifumo hubadilishwa. Kwani imekuja kujaje? Imekuja kwa kuwekwa na viongozi ambao si wazuri. Kwahyo kiongozi mzur ataifanyia kazi ikae vizuri
 
Back
Top Bottom