ukinirukia sikukwepi

Mwenye huyo mbwa hajamtendea haki anamweka hatarini, sidhani kama angeruhusu mtoto wake atoe kichwa namna hiyo! sifuri (0)
 
Figga uko juu, even bloggers wa Bongo wamebaki ku-copy picha za wenzao yani ukifungua blog zote za kibongo utadhani zinamilikiwa na mtu mmoja. Wanakosa utundu wa kukamata matukio simple kama haya. Mia aka 100.
huwa nashindwa kutofautisha michuzi blog na global publishers
 
duh mbwa mzuri ndo mana nahisi kamwachia hvyo ili kila mtu amuone mbwa wake na amemfunga kamba ili asiruke, ila mpiga picha nakupa pongezi.
 
Back
Top Bottom