Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
1.Ukininyima.. Unanionea,
2.Ukinipa-unajipendekeza
3.Ukiniacha-unaniogopa
4.ukinipiga-unanionea
Hahahaa ni maneno ya baadhi ya watu hayo mitaani, vp ushawah kukutana nayo kwenu??
2.Ukinipa-unajipendekeza
3.Ukiniacha-unaniogopa
4.ukinipiga-unanionea
Hahahaa ni maneno ya baadhi ya watu hayo mitaani, vp ushawah kukutana nayo kwenu??