Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,548
- Thread starter
-
- #21
Kama hauko serious waachie watakaokuwa serious. Endelea na nung'aembe lako linalokusumbua. Pesa na cheo chako zisikufanye ufanye uovu Mkuu namna hiyo. Bikra ni agano hivyo usiingie ktk agano ambalo huwezi kulisimamia la sivyo wewe ni mfu na utakufa tu nakwambia wala hutapata amani siku zote za maisha yako ya ubatili duniani.
Hahghha hapo usinmege amekua ugali ILA umenifurahisha na ushaur Wako auzingatie
mlogaji hasemi kaka!
utauziwa mbuzi kwenye gunia ww, umeambiwa tu kuwa ana bikra ndo unaanza kutangaza umethibitisha?
we ni mwehu, kwanza toka muonane ni mwezi mmoja? Are we real serious? ukimla huyo DADA ukamuacha, hata mie nitafanya alichosema .... nyie watu hamfai kwenye jamii ni waharibifu KABISA!
Mkuu kwa alivyo outside look, anaonekana hajaguswa though sina uhakika. Na pia ni binti local flani ivi na ndio kilichonivutia maana hana mambo mengi though ni mazuri wa sura na figure, ni mtu wa church sana.
Mkuu kwa alivyo outside look, anaonekana hajaguswa though sina uhakika. Na pia ni binti local flani ivi na ndio kilichonivutia maana hana mambo mengi though ni mazuri wa sura na figure, ni mtu wa church sana.
Kila mara huwa nasema wanaume waharibifu huwa tunapata wanawake descent sana alafu wanaume watakatifu wanaangukia kwenye mikono ya wanawake wabaya.
Good girls like bad boys alafu bad girls like good boys.
i guess im a bad boy!