Ukimya wa Tundu Lisu juu ya kifo cha George Floyd

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
934
1,000
Ikiwa zimepita siku kadhaa baada ya kifo cha mmarekani mweusi George Floyd kwa kukandamizwa shingoni na police hadi kupelekea kifo chake huko Marekani, pamoja na maandamano yaliyofanyika katika nchi nyingi na watu kutoa matamko ya usawa lakini mwamba huyu amabaye nae hupenda kulituhumu jeshi la police amekaa kimya.

Kulingana na nafasi anayotaka kuiomba sasa ningedhani angejitokeza hadhalani kupinga kitendo hicho cha kinyama kilichofanywa na hao police lakini yeye anazungumzia Tanzania tu kana kwamba hayo hayaoni wakati huko aliko ndo alienda kushitaki kwa kwa kutaka kudhurumiwa haki yake ya kuishi.

Kama muhanga wa kukoswakoswa kufa angesimama na kuwasema hao ma police na kuitaka serikari ya Marekani ichukue hatua kali dhidi ya police hao na kuondoa ubaguzi kwa watu weusi.

Katika hotuba ya jana nilitegemea atagusia hilo lakini kimya sasa ni haki gani anaziomba huko zije Tanzania wakati huko zinavunjwa yeye anaona na yupo huko kimya bila kuwaonya?

Je thamani za waafrica wa huko hazimuhusu?

Nawasilisha.
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,053
2,000
Leo mbowe amevamiwa tunaomba Yale maandamano ya kulaani maana huko marekani mpaka barua zimeandikwa za kulaani watu wasiwe manafiki
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
934
1,000
Anashindwa hata Cyprian Musiba kamnanga barozi wa marekani iweje yeye ashindwe?
Wakati amewahi kuwa Raisi wa TLS?

Kama kshindwa kwa hili basi akipata madalaka nchi itakuwa ya mabeberu.
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
934
1,000
Lissu ni balozi wa Tanzania nchini Marekani? Hv shule mlienda kusoma nini?
Wanaoandamana uingeleza na ufaransa ni mabarozi au ni wananchi?
Je musiba alivyongelea hilo jambo ni barozi au ni raia?
Hata kwa unafiki tu aneonyesha kusikitika na yaliyotokea huko.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,641
2,000
Wanaoandamana uingeleza na ufaransa ni mabarozi au ni wananchi?
Je musiba alivyongelea hilo jambo ni barozi au ni raia?
Hata kwa unafiki tu aneonyesha kusikitika na yaliyotokea huko.
Musiba ni mropokaji na wanaomtuma wanajuwa anachokifanya waulize mabosi wako balozi majukumu yake ni yapi? ndio maana nimekwambia uende shule kwanza ukajifunze maana ya balozi wa nchi usika au waziri wa mambo ya nje.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,704
2,000
Ikiwa zimepita siku kadhaa baada ya kifo cha mmarekani mweusi George Floyd kwa kukandamizwa shingoni na police hadi kupelekea kifo chake huko marekani,
pamoja na maandamano yaliyofanyika katika nchi nyingi na watu kutoa matamko ya usawa lakini mwamba huyu amabaye nae hupenda kulituhumu jeshi la police amekaa kimya.

Kulingana na nafasi anayotaka kuiomba sasa ningedhani angejitokeza hadhalani kupinga kitendo hicho cha kinyama kilichofanywa na hao police lakini yeye anazungumzia tanzania tu kana kwamba hayo hayaoni wakati huko aliko ndo alienda kushitaki kwa kwa kutaka kudhurumiwa haki yake ya kuishi.

Kama muhanga wa kukoswakoswa kufa angesimama na kuwasema hao ma police na kuitaka serikari ya marekani ichukue hatua kali dhidi ya police hao na kuondoa ubaguzi kwa watu weusi.
Katika hotuba ya jana nilitegemea atagusia hilo lakini kimya sasa ni haki gani anaziomba huko zije Tanzania wakati huko zinavunjwa yeye anaona na yupo huko kimya bila kuwaonya?
Je thamani za waafrica wa huko hazimuhusu?
Nawasilisha.
Wenye mamlaka na dhamana ya watu wamelaani ?! Au wameridika !! Kwao haki si kipeuo
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,641
2,000
Wanaoandamana uingeleza na ufaransa ni mabarozi au ni wananchi?
Je musiba alivyongelea hilo jambo ni barozi au ni raia?
Hata kwa unafiki tu aneonyesha kusikitika na yaliyotokea huko.
upumbavu na ujinga unawasumbua tu kila kitu kutaka kukifanya kisiasa nitajie mbunge wa upinzania nchini Marekani ambaye ameshawahi kuongelea upuuzi unaendelea Tanzania? Zaidi ya watu wenye vyeo, Pompeo au Balozi wao hapa Tanzania?
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,641
2,000
Lisu anawatumikia mabeberu na kuwaona kama sehemu ya maisha yake
Msiwe wapumbavu Lissu hana mamlaka ya kukemea chochote kinachoendelea Marekani, Mwenye mamlaka ni Kabudi na Balozi aliyeko uko. tatzo ujinga na upumbavu umewajaa.
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,823
2,000
Msiwe wapumbavu Lissu hana mamlaka ya kukemea chochote kinachoendelea Marekani, Mwenye mamlaka ni Kabudi na Balozi aliyeko uko. tatzo ujinga na upumbavu umewajaa.
Nani kasema kukemea atoe ujumbe sio kuinamisha kichwa hao wachezaji na wanasanaa ni mabalozi .tumia kichwa kufikiri
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
934
1,000
upumbavu na ujinga unawasumbua tu kila kitu kutaka kukifanya kisiasa nitajie mbunge wa upinzania nchini Marekani ambaye ameshawahi kuongelea upuuzi unaendelea Tanzania? Zaidi ya watu wenye vyeo, Pompeo au Balozi wao hapa Tanzania?
Jinga kabisa wewe kila mara mlikuwa mnapost maseneta na wabunge wa marekani wanataka Tanzania iwekewe vikwazo sasa hao walikuwa ni pompeo?
Tumieni akili na sio makalio.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom