Ukimya wa Tundu Lisu juu ya kifo cha George Floyd

Msiwe wapumbavu Lissu hana mamlaka ya kukemea chochote kinachoendelea Marekani, Mwenye mamlaka ni Kabudi na Balozi aliyeko uko. tatzo ujinga na upumbavu umewajaa.

Kwa hiyo jambo la kusema hata kwa kusikitishwa na kifo cha george na kwa kuwa nae ni muhanga wa shambulio anaogopa nini watamfukuza huko?
Nyie ni wanafiki ebu tazama yule mkenya alihamasisha waandamanaji kutaka haki kwa kiswahili, kwani alikuwa ni barozi wa kenya?
Mwambieni basi na dada yenu mange a tweet kulaani kitendo hicho mana hata yeye kinamhusu siku moja yatamkuta huko au watoto wake,
Na sio kila siku Tanzania wakati huko wanakaa kimya.
 
Kwa hiyo maandamano dunia nzima ilikuwa ya nini
Yalilaani ukatili wa polisi.Ukatili wa polisi si Jambo la kibaguzi ni tabia binafsi ya polisi.Hakuna kipengere cha ubaguzi,au kuuwa kwenye sheria za polisi dunia nzima.Hata Hawa wetu wanaoumiza au kuuwa waandamanaji ni tabia binafsi za asili za walipotoka ukooni kwao, wengine wanatoka kwenye koo zenye laana ya kuuwa au ukatili, wengine upiga watu sababu ya stress.
 
Ikiwa zimepita siku kadhaa baada ya kifo cha mmarekani mweusi George Floyd kwa kukandamizwa shingoni na police hadi kupelekea kifo chake huko Marekani, pamoja na maandamano yaliyofanyika katika nchi nyingi na watu kutoa matamko ya usawa lakini mwamba huyu amabaye nae hupenda kulituhumu jeshi la police amekaa kimya.

Kulingana na nafasi anayotaka kuiomba sasa ningedhani angejitokeza hadhalani kupinga kitendo hicho cha kinyama kilichofanywa na hao police lakini yeye anazungumzia Tanzania tu kana kwamba hayo hayaoni wakati huko aliko ndo alienda kushitaki kwa kwa kutaka kudhurumiwa haki yake ya kuishi.

Kama muhanga wa kukoswakoswa kufa angesimama na kuwasema hao ma police na kuitaka serikari ya Marekani ichukue hatua kali dhidi ya police hao na kuondoa ubaguzi kwa watu weusi.

Katika hotuba ya jana nilitegemea atagusia hilo lakini kimya sasa ni haki gani anaziomba huko zije Tanzania wakati huko zinavunjwa yeye anaona na yupo huko kimya bila kuwaonya?

Je thamani za waafrica wa huko hazimuhusu?

Nawasilisha.
Kwani Magufuli ameliongelea wapi!!??
 
Hawezi kuwagusa wazungu waliomtuma kufanya fujo, si atakosa hela! Halafu mambo yanayoendelea duniani hajui yeye anataka ya tz tu.
 
Back
Top Bottom