Ukimya wa serekali yetu, unamaanisha, inashughulikia kimya kimya kelele za watanzania.

Ukimya wa serekali yetu, unamaanisha, inashughulikia kimya kimya kelele za watanzania.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,091
Nafurahi kuona serekali yetu inachukuwa hatua za kimya kimya kushughulikia wote wanaojihusisha na matendo ya utekaji na matendo yote yasiyo mema,
Napongeza kwa hatua ya ukimya huu, na pia kwa sasa watanzania wakae na kujidai kifua mbele, taarifa za siri zinaeleza baadhi ya watekaji wanashughulikiwa kimya kimya, maana yake tatizo hili linakwenda kuwa hadithi za kale ndani ya muda mfupi ujao!.......
#Si kila operesheni ni ya kutangaza,
#Asante Dr. Samia kwa kushughulikia suala hili.
#Mitano tena 🔲✔
#Asante mnyetishaji!
 
downloadfile.jpg
 
Kuua na kuteka au sio ndio kimya chenyewe
 
Serikali ishasema siye wapuuzi ujasikia yani siye ni kenge tu kelele zetu hazina maana watapiga kula wao na wake zao na watoto wao no reform no election over
 
Unakidhalilisha chama chako
Tatizo linakwenda kuwa historia wahuni wote wapo ndani kimya kimya wanashughulikiwa mzizi fitinishi unakatwa, hujuma za kuipaka serekali matope zinafika kikomo, serekali yetu makini inakwenda kumaliza tatizo
 
slogan ya N. E. N. R Ni upuuzi mtupu hazina impact yoyote, hizi ni kelele za hayawani au mwehu, zitakoma October!

Tunafurahi utekaji unakwenda kumalizwa na serekali makini ya CCM.
 
Waanze na huyo Mama na sio kutoa kafara hao anaowatuma. Kwanza haiwezekani maana wote ni wahusika.
 
slogan ya N. E. N. R Ni upuuzi mtupu hazina impact yoyote, hizi ni kelele za hayawani au mwehu, zitakoma October!

Tunafurahi utekaji unakwenda kumalizwa na serekali makini ya CCM.
zimewachoma mpaka mnatoa milio ya kila aina!
 
Back
Top Bottom