Ukimya wa Professor Safari unamaanisha nini?

Ukimya wa Professor Safari unamaanisha nini?

combra

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
130
Reaction score
31
Nimejaribu kufuatilia siasa za chadema/ukawa kwa muda tokea aingie Lowasa kumekuwa na kutokuelewa kwa viongozi wa ngazi za juu.huyu professor alikuwa so potential kwa chadema mbona leo hii simsikii wala kumwona majukwaani au ameungana na Dr slaa au Professor mwenzie.
 
Hujamsikia wewe tu...

Ni kwasababu una masikio lakini hutaki kusikia..
 
Fwatilia Siasa mkuu. Acha kushibishwa tumbo na gazeti la UHURU. Prof. Safari aliongea siku Lowasa anarudisha form za Chadema pale Ufipa. Tuliokuwepo na tusiopenda kutafuniwa taarifa tulimsikia Prof. Akimpongeza na kumkaribisha EL huku akimuhakikishia ushindi ndani ya UKAWA/CHADEMA. Au mwenzetu upo mapumzikoni na waziri mkuu wako?
 
Wakati professa Safari anaingia chadema na hatimaye kupewa umakamu mwenyekiti tuliwasikia vijana wa bavicha wakisema huyu atakuwa mgombea mwenza wa Slaa.

Baada ya mafuriko ya ngawira kuikumba chadema naiona ndoto ya msomi huyu kuyeyuka ghafla na haonekani kama kiongozi ndani ya chadema.
 
Mabadiliko ndio dira yetu...
 
Mnahangaika sana tumieni muda huu kumnadi mgombea wenu mtaanzisha kila aina ya thread but impact yake kwa sasa hakuna it is too late, komaeni na magufuli wenu
 
Huwezi kumsikia Profesa Safari kwa kuwa labda una ugonjwa wa kuangalia TBC1 tu, kusikiliza Radio Uhuru na TBC tu, na kusoma magazeti ya Uhuru, HabariLeo, Raia Mwema, Raia Tanzania na Majira tu.
 
Najua Prof yupo ila sijui kwa kiasi gani na wapi.Yupo center I hope
 
Wakati professa Safari anaingia chadema na hatimaye kupewa umakamu mwenyekiti tuliwasikia vijana wa bavicha wakisema huyu atakuwa mgombea mwenza wa Slaa.

Baada ya mafuriko ya ngawira kuikumba chadema naiona ndoto ya msomi huyu kuyeyuka ghafla na haonekani kama kiongozi ndani ya chadema.
Wewe gamba bado unaweweseka na chadema tu lowasa ndiye rais anayesubiri kuapishwa
 
Jumanne iliyopita alikuwa EATV akiwachachafya ccm.umeathirika na Tbcccm.
 
Vijana wengi tuliorithishwa ndoto za ccm tupo bize kuwaandika wapinzani. Those days we could be quite
 
safari_lowassa_2.jpg

Professor Safari akipokea fomu za Edward Lowassa aliporejesha kuwania Urais kupitia CHADEMA​
 
prof.safari juzi tu alikua kwenye mdahalo na prof.mkumbo kipindi cha siasa za siasa EATV.
Yupo imara tu
 
Back
Top Bottom