barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Wenye akili wanatumia akili kutathmini ukimya wao.Achaneni na chadema,chadema chama kubwa.
Nyie mnataka waongee wote ili mupate weakness zao?
Mnajua waongea wote,ni rahisi kuwapangia mashambulizi kiurahisi,sasa mnawakosa mnawachokonoa waongee,hamuwapati sasa
Chadema ina hazina kubwa ya watu wenye upeo,hamutuwezi kutuingiza mkenge hata siku moja