simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,881
Kweli nimeamini ukiwa mwanaccm lazima ujitoe ufahamu. Nchi imekunbwa na balaa la njaa na wanafuñzi kukosa mikopo badala ya kushauri njia mbadala kusaidia nini kifanyike mnakuja na siasa maji taka na kuuliza watu mbona flani haongei?!! Jizi propaganda chafu na rahisi mnazozitumia nyie watu wa lumumba mtaipeleka nchi shimoni.Mnyika enzi za Dr.Slaa,alikuwa mzungumzaji sana na mjenga hoja mzuri..Lakini kwa sasa mnyika yuko kimya sana,sijajua sababu nini??ukimya huu unasababu yake!!!