Ukimya wa Mnyika una uwalakini?

Ukimya wa Mnyika una uwalakini?

mnyika unamuua ukanda , udini na usukuma. hawezi kuikosoa serikali hii kwa kuwa ni mkatoliki mwenzake, msukuma mwenzake na wote wanatoka kanda moja.
Hivi kumbe JJ. Mnyika ni ngosha!!
 
Mkuu Chabusa, hivyo smartness upstairs kwa JJMnyika ni fact na haina mjadala issue ni ukimya wake wa sasa.

Hata Kinana ni very smart ila ukimya wa Kinana ni tofauti na Mnyika. Kinana yuko kimya kwa sababu amemaliza kazi ya kuisafisha CCM kutoka chama kilichochokwa hadi CCM cha kipenzi.

Rejea uzi wangu huu
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=/amp/www.jamiiforums.com/threads/ccm-imechokwa-chadema-haijajipanga.87532/%3Famp%3D1289677762&ved=0ahUKEwjy9rPGuvDPAhVmK8AKHZIeB1EQFggpMAA&usg=AFQjCNGVk5lmFNTewnZEt1p9YgIhyNNQmQ&sig2=hbsf3ZKBkjoKkEu-AIqdgQ
Kama sio Kinana, saa hizi CCM ingekuwa historia.

Lakini kwa Mnyika inaeleweka na sii peke yake, wale wote walio uamini ule mkutano wa Mwembe Yangu na kuiamini ile list of shame, wamepata wakati mgumu sana na ujio wa mkombozi.

Pasco
Pasco, are you serious, that ccm is clean. Ccm ipi!! Hii ya Tanzania!!? No, No, Pasco you must be kidding.
 
Nimesoma post za huu uzi na kugundua mambo mawili. Kwanza ni mapungufu ya uelewa wa jinsi siasa za hii nchi zinavyoendeshwa na na pili ni maoni kughubikwa na ushabiki badala ya hoja za mantiki. Siasa za Tanzania haziko katika misingi ya itikadi; bali ni siasa za maslahi (fursa ya kupiga hela kiulaini). Hakuna mwanasiasa yeyote nchi hii anayegombea nafasi ya kuchaguliwa kwa sababu eti ana uchungu na hali duni za Watanzania. Hakuna! Na ndio maana wabunge kwa mfano wanalipana posho na marupurupu kukufu katika nchi ambayo 70% ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku. Huu ni ufisadi wa kitaasisi na kimsingi yeyote anayeshiriki ni fisadi. Hivyo ukimsikia mwanasiasa akimwiita mpinzani wake fisadi usije ukachukulia kuwa anaamini hivyo kwa dhati. La hasha! Huo ndio mchezo mchafu unaoitwa siasa. Mwandishi Richard Turner alisema, "Katika siasa kupakana matope kunaitwa kutoa pointi murua"! Eti mwanasiasa wa Bongo aamue "kukaa kimya" kwa sababu kuna mwanasiasa "fisadi" amejiunga na chama chake! Du!!
 
Ili mfu
Huyu dogo mnyika mi naona anafit sasa kwenye hii ccm mpya ,
Kule aliko amepotea tu kwa sasa .huyo nafanya mpango wa kumuhamisha huko aliko namtafutia nafasi ya winga pale mbele .awe anasaidia kuleta mpira karibu na goli la watani zangu
Ili mfunge tena goli la mkono 2020 kama mlivozoea??haji huyo..sahau kabisa mkuu..tafuteni kwingine hata kule rwanda kwa sswahiba wa boss wako
 
Ili mfu

Ili mfunge tena goli la mkono 2020 kama mlivozoea??haji huyo..sahau kabisa mkuu..tafuteni kwingine hata kule rwanda kwa sswahiba wa boss wako
Kama haji,basi dawa yako nitakurushi makapi!!
Nikikukosa na huko ,!!
Tunawahamishia kinyesi hapo sitting room !",Lazima mpoteane tu"
​
 
A
Kwanini mnajaribu kuangalia upande mmoja tu, na kuacha kabisa kuangazia changamoto ambazo Mnyika binafsi amekabiliana nazo katika kipindi hiki kama binadamu, ambazo hazihusiani na siasa? Mkuu Pasco kwanini unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa Mnyika? Kwamba mtu smart upstairs anaweza kufuata mtu ndani ya chama, siyo? Mzee Kinana yuko kimya sana tangu ujio wa JPM, kwa hiyo tuwatazame Mnyika na Kinana kama wanaotatizwa na jambo linalofanana, siyo?
aaa ,Kinana ana dola,ana rais ameshinda uchaguzi,sasa yuko bize kusimamia Ilani yake ya HAPA KAZI TU.Kimya kimya
 
Aha! Mlitaka waanze fujo kama The witch Lipumba. Bila aibu professor mzima. Kuondoka na kurudi bila makubaliano. Shame on him. Mbulu hatafanya hilo kamwe. Ccm imemlipa kwa vurugu aliyofanya wakati wa election. Bila mafanikio. Ngoja tuone mwisho wa Lipumba.
 
Back
Top Bottom