Ukimya wa Lowassa

Ukimya wa Lowassa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Hakuna adhabu kubwa duniani kama pale umemfanyia mtu kosa na yeye anajua kuwa umemfanyia kosa lakini anakaa kimya hakuulizi wala halalamiki, ki ukweli inaogopesha sana. Lowassa anaaminika nchini kwakuwa mtu asiyeongea sana lakini huwa anakuwa na mikakati mikubwa sana, sisi wana CCM tunamfahamu fika kwakuwa tumekaa nae miaka mingi sana na alikuwa akishiriki katika mikakati mikubwa sana ndani ya chama.

Sasa tokea matokeo yametoka huyu mtu amekuwa kimya anafanya lumumba hapakaliki kabisa, hatujui ni kitu anaenda kukifanya. Mashushu wezi wa taarifa wamekwamba kabisa kuja na taarifa inaonekana jambo analotaka kulifanya linapangwa kwa usiri mkubwa ili kuepusha taarifa kuvuja. Lowassa tunakushauri, rudi CCM tukae meza moja tuangalie ni wapi tulipotofautiana kisha tusawazishe maisha yaendelee.

Hata raisi mteule nina imani atakuwa hana amani kabisa anahofu isiyoelezeka. Lowassa, CCM ni nyumbani kwako. Uwe huru kurudi muda wowote ule ukijisikia, usimdharau mama yako aliyekuzaa sababu ya mwanamke changudoa uliyekutana nae barabarani. Pamoja na tofauti zilizojitokeza hapo nyuma ukweli ni kwamba wana CCM wengi tunakupenda na tunakuhitaji.

Tafadhali lowassa usikae kimya, unatuogopesha wana CCM.
 
Wewe. Acha. Kujidanya. Lumumba panakalika tena vizurii. Tu.
 
worm i remember that article ,and i read it too....and i went further and some human resource people there told me they employ on merits ,however they say many of professional posts wich are not that many in TRA are held by chaggas,hayas,nyakyusas,pares,maasai...just in that hiererchy...but still the remaining supporting posts are held by other fellows with less education...

Nadhani Lowassa anaogopa hata kufungua mdomo. Aliwakoki wafuasi wake akiwahakikishia ushindi na sasa hana cha kusema.

Kadai kaibiwa kura na ushahidi anao; makamanda wanasema basi tukadai chetu yaye katulia tuli manake hana...na akilianzisha tu the Hague inamuhusu.

Mwanzoni walisema JK na Nape watatangulia the Hague lkn naona hivi sasa inaweza kuwa Lowassa akikohoa tu Bensouda yule pale...na wale vijana wake bado wapo.

Mlishangilia sana walivokuja (kwa maombi yenu) mkidhani watawapiga pini magamba sasa kibano kimegeuka mzee.

Kuwa mpole tu.
 
Kweli lowasa kakaakimya kwa sababu zifuatazo1.Hata pale alipopewa nafasi ya kuongea alikua hawezi kuongea 2.Ana machungu ya kushindwa 3.wajanja wamekula fedha zake .#
 
Hakuna adhabu kubwa duniani kama pale umemfanyia
mtu kosa na yeye anajua kuwa umemfanyia kosa
lakini anakaa kimya hakuulizi wala halalamiki, ki
ukweli inaogopesha sana.
Lowassa anaaminika nchini kwakuwa mtu asiyeongea
sana lakini huwa anakuwa na mikakati mikubwa sana,
sisi wanaCCM tunamfahamu fika kwakuwa tumekaa
nae miaka mingi sana na alikuwa akishiriki katika
mikakati mikubwa sana ndani ya chama.
Sasa tokea matokeo yametoka huyu mtu amekuwa
kimya anafanya Lumumba hapakaliki kabisa, hatujui ni
kitu anaenda kukifanya. Mashushu wezi wa taarifa
wamekwamba kabisa kuja na taarifa inaonekana
jambo analotaka kulifanya linapangwa kwa usiri
mkubwa ili kuepusha taarifa kuvuja.
Lowassa tunakushauri, rudi CCM tukae meza moja
tuangalie ni wapi tulipotofautiana kisha tusawazishe
maisha yaendelee. Hata raisi mteule nina imani
atakuwa hana amani kabisa anahofu isiyoelezeka.
Lowassa, CCM ni nyumbani kwako. Uwe huru kurudi
muda wowote ule ukijisikia, usimdharau mama yako
aliyekuzaa sababu ya mwanamke changudoa
uliyekutana nae barabarani. Pamoja na tofauti
zilizojitokeza hapo nyuma ukweli ni kwamba wanaCCM
wengi tunakupenda na tunakuhitaji.
Tafadhali Lowassa usikae kimya, unatuogopesha
wanaCCM.

Hapa k?zi tu. Majungu UKAWA
 
Wasiopenda amani wanajionyesha dhahiri. Mnatafuta wa kumnyoshea kidole. Hongereni sana.
 
Lowassa siyo si muongeaji, Lowassa ni mgonjwa na hata kuongea shida.

Lowassa atafanya nini zaidi ya kubwabwaja na kohororoja kila apatapo unafuu.
 
Eti lumumba hakukaliki!mbona watu tuko lumumba tunakunywa mvinyo kwa raha zetu tu.
 
hujui wanacho fikri subiri ICJ wanatoa jibu
mmekua fisi kusubiri mkono kudondoka. ccm haiogopi magamba kujitoa wala haimuogopi mtu. magamba yakijitoa au kutolewa ccm itakua imara zaidi. ni chama cha siasa sio kampuni kutegemea hisa za mtu kama baadhi ya vyama vya upinzami.
 
Hakuna adhabu kubwa duniani kama pale umemfanyia
mtu kosa na yeye anajua kuwa umemfanyia kosa
lakini anakaa kimya hakuulizi wala halalamiki, ki
ukweli inaogopesha sana.
Lowassa anaaminika nchini kwakuwa mtu asiyeongea
sana lakini huwa anakuwa na mikakati mikubwa sana,
sisi wanaCCM tunamfahamu fika kwakuwa tumekaa
nae miaka mingi sana na alikuwa akishiriki katika
mikakati mikubwa sana ndani ya chama.
Sasa tokea matokeo yametoka huyu mtu amekuwa
kimya anafanya Lumumba hapakaliki kabisa, hatujui ni
kitu anaenda kukifanya. Mashushu wezi wa taarifa
wamekwamba kabisa kuja na taarifa inaonekana
jambo analotaka kulifanya linapangwa kwa usiri
mkubwa ili kuepusha taarifa kuvuja.
Lowassa tunakushauri, rudi CCM tukae meza moja
tuangalie ni wapi tulipotofautiana kisha tusawazishe
maisha yaendelee. Hata raisi mteule nina imani
atakuwa hana amani kabisa anahofu isiyoelezeka.
Lowassa, CCM ni nyumbani kwako. Uwe huru kurudi
muda wowote ule ukijisikia, usimdharau mama yako
aliyekuzaa sababu ya mwanamke changudoa
uliyekutana nae barabarani. Pamoja na tofauti
zilizojitokeza hapo nyuma ukweli ni kwamba wanaCCM
wengi tunakupenda na tunakuhitaji.
Tafadhali Lowassa usikae kimya, unatuogopesha
wanaCCM.
Acha ujinga wewe!
Hio mikakati yake mbona haijamfikisha Ikulu.
Nyie ndo wale wana CCM makapi mliokuja kuua upinzani.

Lowassa lazima akae kimya, yuko kwenye chupa, kila anachofanya wajanja wanajua namna ya kukidhibiti.
Pengine mpeni sumu chumbani akiwa peke yake au arudi kwenu CCM.
 
Umeongea vizuri halafu mwishoni umeharibu kabisa.Kwa hiyo yeye ni malaya fulani tu hivi,mtu asiye na tabia njema,ambaye anaweza kuingizwa mkenge na changu doa.Duh,dharau uliyoje.CCM bwana,yaani mmepoteza utu na uungwana kabisa.

Lakini hata hivyoo,arudi wapi,kwenye CCM hii hii ya mafisadi papa ambao hawako tayari kubadilika kabisa.Mimi mwenyewe ni CCM,lakini kwa jinsi CCM ilivyo sasa ni aibu tupu.Mambo yanayotawala humo ni umafia,ujambazi,ujangili,uvunjaji wa haki za binadamu,wizi,ushirikina nk.Kwa ujumla ni kila aina ya uovu.Katika hali hiyo tu mwenye akili timamu na ambaye ni muungwana hawezi kujitambulisha nayo.
Hakuna adhabu kubwa duniani kama pale umemfanyia
mtu kosa na yeye anajua kuwa umemfanyia kosa
lakini anakaa kimya hakuulizi wala halalamiki, ki
ukweli inaogopesha sana.
Lowassa anaaminika nchini kwakuwa mtu asiyeongea
sana lakini huwa anakuwa na mikakati mikubwa sana,
sisi wanaCCM tunamfahamu fika kwakuwa tumekaa
nae miaka mingi sana na alikuwa akishiriki katika
mikakati mikubwa sana ndani ya chama.
Sasa tokea matokeo yametoka huyu mtu amekuwa
kimya anafanya Lumumba hapakaliki kabisa, hatujui ni
kitu anaenda kukifanya. Mashushu wezi wa taarifa
wamekwamba kabisa kuja na taarifa inaonekana
jambo analotaka kulifanya linapangwa kwa usiri
mkubwa ili kuepusha taarifa kuvuja.
Lowassa tunakushauri, rudi CCM tukae meza moja
tuangalie ni wapi tulipotofautiana kisha tusawazishe
maisha yaendelee. Hata raisi mteule nina imani
atakuwa hana amani kabisa anahofu isiyoelezeka.
Lowassa, CCM ni nyumbani kwako. Uwe huru kurudi
muda wowote ule ukijisikia, usimdharau mama yako
aliyekuzaa sababu ya mwanamke changudoa
uliyekutana nae barabarani. Pamoja na tofauti
zilizojitokeza hapo nyuma ukweli ni kwamba wanaCCM
wengi tunakupenda na tunakuhitaji.
Tafadhali Lowassa usikae kimya, unatuogopesha
wanaCCM.
 
Hakuna adhabu kubwa duniani kama pale umemfanyia
mtu kosa na yeye anajua kuwa umemfanyia kosa
lakini anakaa kimya hakuulizi wala halalamiki, ki
ukweli inaogopesha sana.
Lowassa anaaminika nchini kwakuwa mtu asiyeongea
sana lakini huwa anakuwa na mikakati mikubwa sana,
sisi wanaCCM tunamfahamu fika kwakuwa tumekaa
nae miaka mingi sana na alikuwa akishiriki katika
mikakati mikubwa sana ndani ya chama.
Sasa tokea matokeo yametoka huyu mtu amekuwa
kimya anafanya Lumumba hapakaliki kabisa, hatujui ni
kitu anaenda kukifanya. Mashushu wezi wa taarifa
wamekwamba kabisa kuja na taarifa inaonekana
jambo analotaka kulifanya linapangwa kwa usiri
mkubwa ili kuepusha taarifa kuvuja.
Lowassa tunakushauri, rudi CCM tukae meza moja
tuangalie ni wapi tulipotofautiana kisha tusawazishe
maisha yaendelee. Hata raisi mteule nina imani
atakuwa hana amani kabisa anahofu isiyoelezeka.
Lowassa, CCM ni nyumbani kwako. Uwe huru kurudi
muda wowote ule ukijisikia, usimdharau mama yako
aliyekuzaa sababu ya mwanamke changudoa
uliyekutana nae barabarani. Pamoja na tofauti
zilizojitokeza hapo nyuma ukweli ni kwamba wanaCCM
wengi tunakupenda na tunakuhitaji.
Tafadhali Lowassa usikae kimya, unatuogopesha
wanaCCM.

We mtu vipi,Unasifia ukimya hali Lowassa ni mtu ambaye amekuwa akipiga kelele kuwa hakubaliani na matokeo na kuwa mpaka kieleweke?. Hizi press conference zake huwa huzioni wala husikii?? Usimkweze ambaye hakwezeki, ameshindwa uchaguzi na ushahidi wa kuibiwa kura hana akae atafakari amekosea wapi.CCM si nyumbani kwake tena hana ubavu wa kangalia watu usoni si yeye,Sumaye wala babu yetu.

Watanzania wanajua kiongozi waliyemchagua ndiyo maana wamejaribu kuchochea maandamano ya nchi nzima wananchi wamekataa, hakuwa chaguo lao. Inabidi akubali kushindwa/
 
Back
Top Bottom