Ukimya wa Lowassa wakitia homa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Ukimya wa Lowassa wakitia homa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mimi kura yangu ni kwa Magufuri huyu lowassa wa nn? Kwake tu monduli kashindwa
 
Na ni UKAWA hao hao waliomshutumu sana Lowasa kuwa fisadi wa Richmond......wao hujipambanua kama wasafi, iweje waamue kuingia katika viatu vya Lowasa fisadi?

Yaliyopita si ndwele Baba wewe bubujika povu tu wenzako wanasonga mbele
 
Back
Top Bottom