Naye huyu kuna mtu atamnyamazisha kabisa atakapoondoka ofisini - ikiwezekana hata retiremeent benefits zote kuondolewa na pengine kuswekwa lupango kabisa. Wenye vinyongo waliojeruhiwa wapo ndani na nje ya CCM.
AMESHAMALIZA KAZI YAKE KULE UPINZANI. Ukisikia kijipiga bao ndo hivyo tena, upinzani umejifunga goli "Own goal". Upinzani uchwara Tz, bado 2025 watamsimamisha NAPE
Huyu Mungu ndio aliwachagua pia kina Mussolini na kina Joseph Stalin ?
Na vipi wakati Jews wanateswa na Hitler na kuuliwa ?, alikuwa amewasahau. Tusipende kuchangaya Imani na Siasa kwa kuweka Propaganda, hapo ni kuwafanya watu wasihoji na badala ya Policy na kuhoji kinachobaki ni indocrination...