UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

Kwanini viral load iwe ndogo kwa basfhi ya watu? Na ni viral load kiasi gani inatosha kusababisha maambukizi?
Viral load huwa ni ndogo kwa watumiaji wazuri wa dawa na kama mtu anatumia dawa vizuri anaweza kuwa na undetectable viral load na mtu huyo chance ya kuambukiza ni ndogo sana.
 
Na hili suala la blood group kuhusika ktk kuweka ugumu ktk maambukizi ni la kweli?
Sababu ni immunity, Antiretroviral Therapy (ART). Kwa viral load above 400 copies/mil of blood kunakuwa na chance of HIV transmission
 
Asante kwa elimu hii. Ila vijana tuchukue tahadhari, mihemko ina nguvu sana bila kujali hatari iliyopo mbele yetu, lakini tukumbuke ugonjwa sio Ukimwi tu
Tahadhari ni muhimu. Unaweza usiambikiwe wewe ila mwingine akaambukizwa kwa sababu risk haijaondoka bali imepungua tu. Hata mtumiaji wa condom akijua partner ana maambukizi ni ngumu kufanya tendo japo condom anayo
 
Mpenzi wangu wa sasa ndio wa kwanza ananisisitiza niende nae kupima. Ananipenda sana ila nafsi yangu inasita kweli kwenda pima.
Wiki hii napiga moyo konde naenda ila siendi nae, nitaenda kivyangu kwanza kisha majibu yakiwa mazuri nitamchukua nikapime nae sehemu nyingine.
Majibu yakiwa mazuri NAAPA nitaanza kwenda kanisani na nitamuoa huyu binti anayeonekana kunijali na nitatulia nae na pia nitaanza maisha mapya kwa kuachana na marafiki zangu wa sasa ambao kwa kweli sio wa kuwa nao. Nitabadili namba za simu na kuhama kabisa hata mkoa na kwenda anza "upya". Kuhama sio ishu, bado nitakapohamia nina mizizi hivyo haitakuwa ngumu. Kikubwa hili genge langu haliwezi fika huko. NIMEDHAMIRIA, MUNGU niongoze.
 

Asante hiyo kwel
 
Hii story ni ya kutunga especially kwa wale watunzi wazuri kama mimi na kuna makosa kadhaa... Hamna kitu unaitwa ugonjwa wa UKIMWI bali hizo ni mental masterbation, piga kazi ila ujali mwili wako kwa kula vizuri, kufanya mazoezi na kupata muda wa kupumzika vizuri na ondoa mawazo hafifu ya huo ugonjwa wa UKIMWI
 
Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.

ILA

Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.

labda atakua ni "group O"
 
Mkuu Nakuombea....umeongea kwa uchungu sana[emoji22]
 
mkuu story hiyo imewakuta wanaume wengi sana.
 
Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.

ILA

Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.
mkuu kutembea na mtu mwenye hayo matatizo sio la,ima na weee upate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…