Hauwezi fahamu hali waliyonayo wakati wanapokea ujumbe huu, uelewe tu kuwa hii ndio jamii ile ile baada ya kumaliza kuperuzi humuIla kuna watu wanajua kujifariji,yaani pamoja na elimu,shuhuda na vitisho bado kuna wanaodai kuwa Ukimwi haupo...!
AsanteWakuu tujiwekee utaratibu wa kupima afya zetu. Tusiupe kipaumbele UKIMWI wakati kuna magonjwa mengine hatari kama
Kisukari, Cancer, Hepatitis B, Tuberclosis, Malaria na mengineyo.
Sijasema mpuuzie HIV AIDs hapana lakini pimeni magonjwa yote na mchukue tahadhari. Afya ni muhimu, uhai ni muhimu zaidi, chukua tahadhari mapema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi humu kuna mashindano ya magonjwa?
Google Delta 32 utapata faida zaida nisikulishe maneno.Mkuu jamii hii hawapokei kabisa virus katika damu zao?
Post ya kitoto.watu wanamagonjwa ya deadline wewe unakuja na ka ukimwi.aya nakushaur kapime Tena na TenaHivi humu kuna mashindano ya magonjwa?
Duuu miaka 5 haukupata alafu sasa hivi ndio unajifanya kuogopa, ww hujioni kama ni mjinga fulaniCD4 zipo vzr japo hataki kuanza dawa na hajajikubali kwasababu hakutegemea kama jambo hili halijatoka kwangu, bado ni changamoto japo ni miaka 5 sasa
umri wa kuanzia miaka 16 Ukienda nyanda za juu kusini ukijifanya wewe jogoo unaweza usirudi salama.
Ila kuna watu wana maambukiz lakini wakipimwa hawana.Mkuu ukweli sijajua kwanini sijapata naamini ni mipango ya Mungu pekee alikuwa na malengo yake, kwasababu kuna wakati nilikuwa napata hadi michubuko na nilikuwa rafu sana kwenye hilo.
labda kibaiolojia kuna sababu za msingj zaidi
Kaka hii kitu inatuharibu sana vijana, ni kheri uonekane hujui lolote lakini ujue thamani yako,Nishasema ivi, raha ya dk 1 (when ejaculating) haiwezi nipotezea dira na mipango ya maisha ya miaka 70
Hili ndio huwa silikubali, vitoto siku hizi vinaanza mapema sana hizo shughuli. Umesahau kale katoto kalikokuwa na kesi ya kuua!?Umri bado mdogo huwenda alizaliwa akiwa na hilo tatizo.
Post ya kitoto.watu wanamagonjwa ya deadline wewe unakuja na ka ukimwi.aya nakushaur kapime Tena na Tena
Mkuu naona umewawekea watu Certificate ya kuhalalisha kuwadinya wale mademu wanaotakaga kupima kwanza kabla hawajagongwa.Leo mara ya 4 napima naambiwa sina itakuwa sina kweli View attachment 897888
Ila kuna watu wana maambukiz lakini wakipimwa hawana.
Hyo ipo kabisa,kuna jamaa kasha ua kibao lakini yeye kila akichek hana. Na akitambea na demu anaambukiza.
Hapo sijuagi ni kitu gani kwa kweli