UKIMWI Upo: Siamini na mimi umenipata

UKIMWI Upo: Siamini na mimi umenipata

Namshangaa sija muelewa kabisa 😄
huyu jamaa ana hamu na ukimwi, nimerudia tena kuisoma story yake mara mbilimbili. Yaani alijua manzi anakunywa vidonge ila jamaa bado akaendelea kuweka tena kwake, hata kama alitumia condom, sometimes zinapasuka na kukuweka kwenye risk zaidi.

Huyu jamaa ni mjinga grade AAA+

Na anachokitafuta inawezekana akaja kukipata kweli, na hata ukiangalia anavyosimulia yaani linasimulia kama sifa vile. Jinga kabisa hili jamaa
 
Maelezo yako yanaonyesha umeenda shule lakini vitendo vyako havionyeshi maarifa uliyopata huko shuleni.
Elimu ya ukimwi imetolewa sana, lakini kuna watu bado haijawafikia au wamepuuzia🙄🙄
Nimechukizwa na maelezo yako😬😬maana hayana msaada kwa jamii
 
huyu jamaa ana hamu na ukimwi, nimerudia tena kuisoma story yake mara mbilimbili. Yaani alijua manzi anakunywa vidonge ila jamaa bado akaendelea kuweka tena kwake, hata kama alitumia condom, sometimes zinapasuka na kukuweka kwenye risk zaidi.

Huyu jamaa ni mjinga grade AAA+

Na anachokitafuta inawezekana akaja kukipata kweli, na hata ukiangalia anavyosimulia yaani linasimulia kama sifa vile. Jinga kabisa hili jamaa
Jinga kabisa 😄
 
Back
Top Bottom