UKIMWI Upo: Siamini na mimi umenipata

UKIMWI Upo: Siamini na mimi umenipata

Hiyo anayedunda ujue bado Yuko Fresh infection, Ukimwi unakupa Muda wa miaka 5 hadi 10 tu baada ya hapo hata ufanye nini Utakonda tu

Sahihi, hata miaka 15 unakaa mpaka 20... kukubwa dawa, msosi safi ... epuka maambukixi mapya .... watu wameungua wengi sana na tunaishi nao mtaani, ukiambiwa flani anatumia dawa mpaka unashangaa
 
Hii ni kama chai coz umejichanganya sana mkuu,

Kwa vile umesema unafanya kazi idara ya Afya,huenda huu uzi ni kama tahadhari kwa vijana,sio mbaya sana kufikisha tahadhari kwa njia hiyo,

Kama ni kweli,pole sana,kila mtu achukue tahadhari,usihadaike na hizi kauli za wana eti Ukimwi ni ugonjwa wa kawaida,ugonjwa ni ugonjwa tu,hakuna ugonjwa wa kawaida.
 
Back
Top Bottom