UKIMWI upo ARV zitatumaliza

UKIMWI upo ARV zitatumaliza

In fact mazeee, HIV isikieni, habar za sijui ARVs inafanyaje sijui madudu gan zisiwasahaulishe.


Unapoona mtu anaamua kubebea dawa ndani ya chupi.,, kadi anaificha kwa matiti uko ,sio hali ya kawaida .


Watu tuweni makini na Mungu atulinde tu .

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Hawezi ambukiza au uwezekano wa kuambukiza ndio unapungua????


Aaahhh wakuu kuweni wakweli as long as ana test Positive na yuko kwa ARVs , bado ngono zembe itapelekea maambukizo. And thats y , hata wenyewe licha ya kutumia ARVs bado wanashauriwa kutojihusisha na ngono zembe .




The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
Uwezekano ni 0.1%
 
Nyie huwa mnakumbuka? au mnafanya kwanza mkishakojoa ndiyo mnakumbuka hamkutumia condom.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua tena kwenye kitandan akili zetu zinahamia kwenye kichwa cha chini hivyo mtu akiwa baloz wa kujitangaza awe na balozi wa kitandan kukumbusha maana kwel baada ya kojo akili ndio hurud juu sasa.. Wewe huon hata mida ya kutoa bikra pamoja na kelele na madamu yote mtu hujali bado huon huruma moto unaendeleza ukikojoa ndio huruma inakuja
 
Back
Top Bottom