UKIMWI upo ARV zitatumaliza

UKIMWI upo ARV zitatumaliza

Mkuu huyo anayetumia dawa anafahamika kwa urahisi kwa njia zipi? weka elimu hapa watu wajifunze,utakua umeokoa watu wengi sana.
Mkuu nikiandika apa ni sawa na ukikugoogle tuu, ungekua unaonana nao mara kwa mara na una uhakika kabisa ni positive ingesaidia zaidi.
 
Kwa mtu anayetumia dawa kikamilifu ni vigumu mno kumuambikiza mwenzie sababu viral load inakuwa imepungua kwa kiasi kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sababu gani kitaalam kua viral load ikiwa low kunakua hamna uwezo wa virus kua tranamitted? Na nini labda kinasababisha viral load kua low au high mbali na kuzingatia umezaji wa dawa
 
Halafu wanasemega kama mtu alishapata maambukizi ya HIV
na akaendelea kufanya mambo hayo anaweza kupata “maambukizi mapya”

Ndo maana wale ambao wamepata maambukizi wakati mwingine wanaingiwa na roho ya kutaka kuambukiza wenzao lakini kumbe kuna changamoto ya kupata maambukizi mapya kwa muji wa wataalam wanavyosema kupitia vyombo vya habari !

Mkuu siwez kusema exactly kua anapata maambukizi mapya ila pamoja na hilo wingi wa virus kwenye cell(viral load) unaongezeka hivyo immune sytem inakua low ivyo anakua kwenye risk zaidi ya kupata magonjwa nyemelezi kama kifua kikuu na mengineyo
 
Hii Kasi Ya Maambukizi Ingepungua Kama historia ya chanzo cha kifo cha marehemu ingetajwa kuliko kukwepa usahihi ni kitu gani kimesababisha marehemu afe
Sidhani Kama watakuelewa...! Anyway, kamwe hawawezi kusema. Instead wanasema amekufa kwa ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wanasemega kama mtu alishapata maambukizi ya HIV
na akaendelea kufanya mambo hayo anaweza kupata “maambukizi mapya”

Ndo maana wale ambao wamepata maambukizi wakati mwingine wanaingiwa na roho ya kutaka kuambukiza wenzao lakini kumbe kuna changamoto ya kupata maambukizi mapya kwa muji wa wataalam wanavyosema kupitia vyombo vya habari !

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siwez kusema exactly kua anapata maambukizi mapya ila pamoja na hilo wingi wa virus kwenye cell(viral load) unaongezeka hivyo immune sytem inakua low ivyo anakua kwenye risk zaidi ya kupata magonjwa nyemelezi kama kifua kikuu na mengineyo
Maambukizi mapya ni kwamba virusi vya mtu mmoja sometimes vinatofautiana na mtu mwingine so ukisex na jamaa mwenye virusi tofauti na vyako unaongeza wangeni wengine ambao hadi waje kua-adopt mazingira ya mwili wako utakua umeshaumia saana hapa ndo kale kamsemo "bora jini likujualo......"

Kwan kuna aina ngapi za virus mkuu?
 
Huyo jamaa mwenye pikipiki macho yametafsiri yaliyokiona ikapeleka kwenye ubongo ubongo ukashusha Mwanza-Nyegezi. Mathalani angejua historia ya huyo dada udenda usingemtoka kiasi hicho. Hayo ndio yanatukuta wanaume nyumbani tunaacha mke mwema mzuri mcha Mungu anakuheshimu, umebarikiwa vitoto vizuri vinasoma english medium hawajui baba kumbe akisafiri anakuwa firauni, akifika safarini siku hiyo hiyo anakwenda bar ama club anakuta lidada jeupe pee limejinenepea limeacha mapaja nje yenye michirizi ili likutege vizuri, unafika bei kumbe ni unene wa ARV unabeba matatizo, unampelekea mke wako aliyetulia nyumbani, maskini vitoto vinakuita dad , kumbe tayari mambo yakianza unaanza kusingizia magojwa ya wasomi mara kisukari , mara pressure, mara umelogwa... Tuache tamaa....hata kama ni mchepuko umeupata chukua muda kupata ABC zake... wewe unamkuta bar eti na namba ya simu umechukua unadhani wamwona mwenyewe hapo?
 
Jamaa umenitisha. Keshokutwa naenda KIGOMA kama mwezi sa ntaogopa kwenda viti virefu maana maji ya mende hukimbilia chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa mwenye pikipiki macho yametafsiri yaliyokiona ikapeleka kwenye ubongo ubongo ukashusha Mwanza-Nyegezi. Mathalani angejua historia ya huyo dada udenda usingemtoka kiasi hicho. Hayo ndio yanatukuta wanaume nyumbani tunaacha mke mwema mzuri mcha Mungu anakuheshimu, umebarikiwa vitoto vizuri vinasoma english medium hawajui baba kumbe akisafiri anakuwa firauni, akifika safarini siku hiyo hiyo anakwenda bar ama club anakuta lidada jeupe pee limejinenepea limeacha mapaja nje yenye michirizi ili likutege vizuri, unafika bei kumbe ni unene wa ARV unabeba matatizo, unampelekea mke wako aliyetulia nyumbani, maskini vitoto vinakuita dad , kumbe tayari mambo yakianza unaanza kusingizia magojwa ya wasomi mara kisukari , mara pressure, mara umelogwa... Tuache tamaa....hata kama ni mchepuko umeupata chukua muda kupata ABC zake... wewe unamkuta bar eti na namba ya simu umechukua unadhani wamwona mwenyewe hapo?
Bonge la point, kunywa supu bili utajilipia. Shikamoo Mtumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa anakunywa dawa vizuri hawezi kuambukiza.
Hawezi ambukiza au uwezekano wa kuambukiza ndio unapungua????

Aaahhh wakuu kuweni wakweli as long as ana test Positive na yuko kwa ARVs , bado ngono zembe itapelekea maambukizo. And thats y , hata wenyewe licha ya kutumia ARVs bado wanashauriwa kutojihusisha na ngono zembe .

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Back
Top Bottom