theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,715
Siku hizi wengi pia wanatumia mafuta ya ngozi yanawangarisha vizuri sana.... hakuna hata doa la upele....
Wafe tu hakuna namnaHata wakijulishwa huwa hawataki wanajua anabaniwa tuu
get well soon tl
..lakini mkuu hata mtongozaji anapaswa kuwa makini pia.. unaweza vipi kutongoza demu mpya usiyemjua na akikukubalia tu unakwenda kugonga kavu kavu...?Tatizo Wakitongozwa Mzigo Wanatoa Bila Kumjulisha Mtongozaji Kama Ngwengwe Ipo
Ndo hautaisha aiseeSiku hizi wengi pia wanatumia mafuta ya ngozi yanawangarisha vizuri sana.... hakuna hata doa la upele....

Bosi upo sekta ya AfyaIla kama ni mzoefu kwa anaetumia dawa anafahamika kwa urahisi sana kwa sababu ya side effect za ART's, ila kama hujui ndo rahisi kukamatika au kama ndo amepata maambukizi karibuni na bado ajaanza kutumia dawa.


Huyu atakuwa bashitestill hujaelewa??? basi wewe inaonyesha hata mitihani ulikuwa unafeli!
Mkuu huyo anayetumia dawa anafahamika kwa urahisi kwa njia zipi? weka elimu hapa watu wajifunze,utakua umeokoa watu wengi sana.Ila kama ni mzoefu kwa anaetumia dawa anafahamika kwa urahisi sana kwa sababu ya side effect za ART's, ila kama hujui ndo rahisi kukamatika au kama ndo amepata maambukizi karibuni na bado ajaanza kutumia dawa.
Akiwa anakunywa dawa vizuri hawezi kuambukiza.



acha kutuingiza chaka aisee hebu fafanua kitaalamu DocMmmmh hapa panahitaji uongeze kanyama kidogo ka kitaalamu "viral load haitoshi"Kwa mtu anayetumia dawa kikamilifu ni vigumu mno kumuambikiza mwenzie sababu viral load inakuwa imepungua kwa kiasi kikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenye u daktari simo