UKIMWI upo ARV zitatumaliza

Hii Kasi Ya Maambukizi Ingepungua Kama historia ya chanzo cha kifo cha marehemu ingetajwa kuliko kukwepa usahihi ni kitu gani kimesababisha marehemu afe
 
Zamani waathirika walikuwa wakipata maambukizi walikuwa wakipandisha “makenchi” na kukonda kwa hiyo ilikuwa rahisi mtu kustukiwa na kuogopwa!

Siku hizi hawakondi labda wachache, wengi wanene na wanavitambi kiasi kwamba watu wala hawajijali!

Yani ni mmnh......


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…