Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Naamini huu ushauri murua wizara husika itaufanyia kazi. Inabidi tupigwe chapa kama ng'ombe.Siri nzito inayopelekea UKIMWI kutmalaki ni jambo moja tu, with kutangaza ugonjwa tofauti hasa wakati wa kusoma historia ya maremu, tungetangaza kuwa marehemu kaondoka na ngwengwe mke na michepuko yake isingeguswa na HIV -ve, TUPIMWE WOTE KISHA ATAKAEKUTWA POZITIVU APIGWE CHAPA KWENYE TAKO NA ITANGAZWE ILI KILA ATAKAEKUWAA MIADI KABLA YA KUTUMBUKIZA MBOYOGO a.k.MKUYENGE NI LAZIMA TUCHUGULIANE MAKALIONI
watu wanaupataje?Mnajua hata maana ya ukimwi nyie??
Upungufu wa kinga mwilini ni ishu ya kawaida.
Ukila balanced diet, ukifanya mazoezi fresh na kutunza mwili wako ukimwi unapona.
Tangu lini ukimwi ukaambukizwa?
unajuaje kama wewe hujadanganywaWanajidanganya au wewe ndio umedanganywa?
Kabisa yaani. Huyu Martha binti mdogo namna hii kafa kwa ngwengwe. Ataondoka na wengi.Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
una uhakika madam?Kabisa yaani. Huyu Martha binti mdogo namna hii kafa kwa ngwengwe. Ataondoka na wengi.
Bora MC pilipili alinyimwa mzigo kwa madai Hana vigezoo
Mimi nilikwisha vunja uchumba Mara 2 kwa issue za kulazimishwa nikapime. ivi napima ili iweje kwamba nikikutwa nimenasa napewa dawa napona au ndo kupeana mavidonge ya homa ya ini alafu tunadangwa eti zinarefusha maisha kwa wagonjwa was ukimwi. Mara nyingi ma Dr wanachanganya majibu anakupa mengine unaanza kuishi kwa mawazo vyakazi gani si bora niishi kwa amani nikiamini Niko fiti ikitokea basi ni ajari za kawaida kifo kipo hakikwepeki ata ukipima kila wiki utakufaNa mm nishasema hivyo na hata nikienda kufunga ndoa kanisani wakataka wanilazimeshe nipime kwanza nitaachana na huo mpango wa ndoa.Sitaki stress mimi kama ni kufa kupo tu kwa nini uanze kuishi kwa mashaka.
hahahaaaa nikijua alieshiliki kunipima bila hiari yangu lazima undugu ufe kama ni Dr nikipona lazima nipite na mkewe au mwanaeUkiumwa ghafla ukazidiwa hoi watakupima tu
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Umekaa kimbeya mbeya boss...tuwekee vyeti vyao vikionyesha ni +veUkimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
nilikua mgumu wa kutumia kinga ila sasa hivi aisee, nmeanza kutumia kwa kuogopa magonjwa sitaki mipango yangu ikwame kisa kudhoofika na maradhi labda uzee panapo majaliwa
Limeshakuwa gonjwa la kawaida tu sasa. Hivyo ndivyo jamii inavyofikiria, which is wrong. Hata kampeni elimisha zimefifia sana.
Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma
kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
hahahaaaa ilo tatizo linawakumba wengi mi niliwai kupima 2014 nikakimbia majibu sasa nasubili mpaka dawa ipatikane ndo nikapime. Kwanza sina history ya kuugua hovyo hovyo kwaiyo Niko safisiku nikifanikiwa kupima Ukimwi alafu sina basi ntatulia sana, tatizo kila nikitaka kupima uoga wa hali ya juu unanijia sijui nitumie mbinu gani.
πππππmimi nilichangia damu mnazi mmoja mpaka leo sijataka kabisa majibu yao.hahahaaaa ilo tatizo linawakumba wengi mi niliwai kupima 2014 nikakimbia majibu sasa nasubili mpaka dawa ipatikane ndo nikapime. Kwanza sina history ya kuugua hovyo hovyo kwaiyo Niko safi