UKIMWI unavyotafuna vijana

Nikaona tu Nindiy kama wanarudiana na yule wa zamani,halafu nikamuona yule wa zamani kama amechoka hivi. Nikajiuliza au ni hii unga? Lakini mmh. Wakati nikasikia Nindiy eti anatoka na huyu simba #1 musician. Mmh...!. Nikaogopa sana,nikajisikia machungu sana. MUNGU anusuru isiwe kama ninavyowaza. Kwani huyu warumi anasemaje kuhusu hii kitu?
 
Huoni kuna utata katika kitu kinaitwa UKIMWI?Kama mara ya kwanza walisema umenasa na wakati huohuo mpenzi wako yuko safi lkn Baada ya muda nawe ukaambiwa safi?Unaweza enda pima tena ukaambiwa umenasa.
 
nilikua mgumu wa kutumia kinga ila sasa hivi aisee, nmeanza kutumia kwa kuogopa magonjwa sitaki mipango yangu ikwame kisa kudhoofika na maradhi labda uzee panapo majaliwa
Ukimwi sawa unatisha lakn kuna ugonjwa unaitwa kisukali na kansa,[emoji1781][emoji1781][emoji1781]
 
Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?
Ni mindset tu as muafrika alizokaririshwa na mzungu ili propaganda za HIV/AIDS zifanye kazi. Tushaaminishwa AIDS ndio ugonjwa Hatari sana na ukiupata basi lazima ufe. Wengi wanakufa mapema sio AIDS, Wanakufa stress. Stress zinaweza kushusha kinga zako za mwili kwa muda mfupi sana.
 

Ndugu mbona unateseka hivi? Umeathirika?
 
Wacha waendelee kufa kwa ubishi wao wengine watakwambia siwezi kula mtoto mZuri na condom mara ukimwi ni kama malaria tu. Swali la kujiuliza ni kama mwanamke unamuona mzuri Je unahisi unamuona mzuri peke yako? Vipi huyo mwanamke ana uwezo kuwakatalia wengine despite of their financial strength?.
 
Sio hisani, Hiyo ni Biashara.Hakuna mzungu wa kumpa muafrika kitu cha bure.Kinachofanyika ni kuja contracts zao za kilaghai na mnapewa ARV,CONDOM na NETI.

Naona boss kabadilika, umesogezwa mbele kidogo, hata nikupitie unitoe kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…