SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Tangu lini ukathamini uhai wa binadamu wewe muuaji? Turudishie mwili wa Ben Saanane kwanza.Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumalisza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Jamaa umenchekesha kweli.Grid ya taifa kutokana na kidonge kwa sasa aitishi sana zamani ikikupiga unaonekana kama msomali
kufa kwa ukimwi ni ufahari.Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Tuliozaliwa nao tumbo moja hakuna mwenye nao wazazi wangu pia hawana ndugu wengine sijui hali zao ila wakiwa nao nitakutajia mkuuPumbavu taja ndugu zako kwanza..
Kwahiyo Mbosso naye REAUkimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
Kingereza cha kwenye movie hiki, ila haina haja ya matusi tujadili kwa hoja tu bila kutumia matusi ndiyo ustaarabu kwa mtu aliyeelimikaYou know nothing of anything. You better keep your fucking mouth closed.
Kingereza cha kwenye movie hiki, ila haina haja ya matusi tujadili kwa hoja tu bila kutumia matusi ndiyo ustaarabu kwa mtu aliyeelimika
Huu uongo sasa,Mengi alisema shida ya mtoto wake ilikua ni Moyo.Hata Mengi alimtaja mwanae,sirisiri nazo huponza.
Janjaroo sijui ana hali gani kwa lile goma alilokua amelioa.Aiseeee Whozu kweli hajampitia? Maana hawa wasanii wakimchukua Video Queen lazima atambae na Besela.
Umetumia criteria zipi kubaini kwamba superstars wengi wameathirika ?Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
10yrs ahead dawa iwe haijapatikana? Acha kutisha watuMiaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Umenena kweli hali ni mbaya sana,uvaaji wa nguo nao unachangia sana,fashion inayotrend sasa hivi ni wanawake kuonyesha mauongo yao ya ndani,hapa kuna suruali za kubana,vitopu vinavyoonyesha matumbo,nguo fupi na nyingine ni magauni yanaayo onyesha ndani,hii kwakweli ni hatari sana,wanaume hili kwao ni mtihani mkubwa sana,nilikuwa naona vijana ndio wanaovaa hivyo lakini sasa hivi mpaka wake za watu nao wamo sasa sijui nao wanatafuta nini! na waume zao wapo wanaangalia tu mambo yanavyokwenda...!Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini