Asante ila Nina amani na furaha sana.kuliko anaepima kila mwezi utazani atakufaPole sana na mateso unayopitia. Hebu fikiri ni vipi utaishi bila kujua hatma ya maisha yako hadi lini? Jilipue tu mkuu kuna faida nyingi zaidi ya kujua hatma ya maisha yako kuliko hasara.
Waswahili wanasema "likuepukalo lina heri na wewe"Bora MC pilipili alinyimwa mzigo kwa madai Hana vigezoo
KwannUmekosea sana kubadilisha avatarpi hcha yako
Huwa wanadungwa sehemu gani ya mwili na nini kinakufanya uone huruma ni mchakato wenye maumivu?Hakuna wakati mgumu kwa mgonjwa wa ukimwi kama wakati wa kudungwa ile sindano ya damu ya viral load, huwa nawaonea huruma sana.
Vijana jitahidini mjilinde acheni ngono zembe ukimwi Upo na unatisha kuliko unavyofahamu.
Tembea uone Mkuu.Hii kwa sasa haina shida watoto wanazaliwa salama kabisa shida ilikuwa miaka ya 90 kuja katikati ya 2000 ambao kwa sasa ni vijana wengi walizaliwa na hili janga.
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
Duh!!!kuna sababu ya muhimu inayowafanya wasiende kwenye vituo vya afya?Tembea uone Mkuu.
Kuna maeneo baadhi ya wajawazito hadi leo hawaendi clinic hata mara moja mpaka siku anajifungua tena kwa mkunga wa jadi.
Kwa mazingira hayo mtoto atazaliwaje salama?
duu! una moyo wa kijasiri sanaMimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Ignorance and negligenceDuh!!!kuna sababu ya muhimu inayowafanya wasiende kwenye vituo vya afya?
Umetoa idea nzuri sana. Wenye nao wawekwe alama sehemu ambazo zinaonekana tu wakati we tukio. Hii si udhalilishaji bali kuokoa jahaziSiri nzito inayopelekea UKIMWI kutmalaki ni jambo moja tu, with kutangaza ugonjwa tofauti hasa wakati wa kusoma historia ya maremu, tungetangaza kuwa marehemu kaondoka na ngwengwe mke na michepuko yake isingeguswa na HIV -ve, TUPIMWE WOTE KISHA ATAKAEKUTWA POZITIVU APIGWE CHAPA KWENYE TAKO NA ITANGAZWE ILI KILA ATAKAEKUWAA MIADI KABLA YA KUTUMBUKIZA MBOYOGO a.k.MKUYENGE NI LAZIMA TUCHUGULIANE MAKALIONI
Acha tu mkuuHuwa wanadungwa sehemu gani ya mwili na nini kinakufanya uone huruma ni mchakato wenye maumivu?
Jifariji tu mkuu, ungekuwa na amani usingehofu. Bila shaka record zako ndizo zinazokutisha. Kama hutojali niPm nikusaidie nyenzo upime hata nyumbani kama Upo Dar.Asante ila Nina amani na furaha sana.kuliko anaepima kila mwezi utazani atakufa
Umenishitua akabidi niipitia ID upya ya mleta mada. Jamaa huyu ndiye anaetangaza kutoa uhai wa wengine, kitu gani kimemukuta hadi kuogopa kifo tena.Umeanza lini kusikitikia upotevu wa uhai wewe?
unazikubali rough rider?wacha nipite tu maana MMMMMH