UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

Kanali mwime

Member
Joined
May 5, 2018
Posts
71
Reaction score
171
Habali zenu wakuu Mimi bado nipo nakomaa na maisha ya huku bondeni japo magumu nayajua mwenyewe, ninachotaka kuwashitua wakuu ni kwamba hapa south watu wana UKIMWI sijawai kuona watu wameathilika Kama miji ya hapa bondeni, nimepima na wanawake 6 ili niwe nao kimapenzi cha ajabu wale 5 wana ngoma yaani wakuu naogopa hata kuchukua mizigo ya huku bola DAR wenye UKIMWI WACHACHE. NIWATAKIE MAISHA MEMA POLENI NA MAJUKUM
 
Chunga Babu nyota yako inaonyesha inataka kuchafuka ,funga zipu mpaka urudi nyumbani.

Kali ni ile unarudi home unamega kwa pupa Mara Paaa ,alafu aliye kuambukiza ni choka mbaya mwenzio Wakati huko umewakataa wanao eleweka(ni utani)
 
Mkuu kwani condom si zipo?Au?
 
Chunga Babu nyota yako inaonyesha inataka kuchafuka ,funga zipu mpaka urudi nyumbani.

Kali ni ile unarudi home unamega kwa pupa Mara Paaa ,alafu aliye kuambukiza ni choka mbaya mwenzio Wakati huko umewakataa wanao eleweka(ni utani)
Ni kweli mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom