Ukimwi mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimwi mwema

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by IrDA, Oct 5, 2012.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Wadau wikiendi hiyooooo inanyemelea,nawatakia UKIMWI mwema....!!
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umesahau ka Loliondo bado kuko active?
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wewe ni agent wa shetani nini!
   
 4. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nafikiri mtoa mada yuko sahihi kwani ameitoa mada yake kama angalizo so akili kumkichwa kwa wale wanaoitumia wikendi kufanya mambo hatarishi. Kamwela ulipashwa kuread through da lines
   
 5. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na sisi ambao tumeshaathirika unatuagaje?
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hivi wana jf wangapi wamepima wajitaje
   
 7. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mm nilipima mara ya kwanza wakanambia nina hiv++ wakanambia nirudi kupima tena baada ya miezi 3 juzi nimepima tena ila majibu bado sijachukua sa sijui kama nnao au sina.
   
 8. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  moyo unao!! Can't figure out hw dare culd u
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Rafiki yangu Kinyesi cha ng'ombe rudi tu ukachukue majibu lol!
   
 10. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi siogopi majibu wala nini kwanza ukimwi wenyewe siuogopi ntayafata tu majibu yangu ngoja kdogo.Ww mwnzetu vp unalinga umepima.?
   
 11. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mweeee !!!
  Hicho kipimo cha awali lazima kitakuwa cha mchina fake. Teh teh hata wenyewe hawakukisadiki ndo maana mana wakaamua urudie round ya pili.
   
 12. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mi najipimaga mwenyewe kisha namwambia wife asome majibu na asinipe. Nae akijipimaga namsomeaga mimi afu nauchuna(mpaka leo yuko sterile bhana).
  Nimeshapima mara 10 (kila nikijichafua)... Anyway siku wife akiomba taraka ntajua kishanuka.
   
 13. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndomana mm sina wasiwasi bado najiamini kua niko freshi hata hayo majibu ya vipimo vya pili siyataki kwa sasa.Nikiamua nacheza pekupeku kama kawaida.
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Sijapima mkuu,bado najipanga...lol!
   
 15. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakushauri kapime mkuu.Kujua afya yako ni vizuri kuliko kutojua.
   
 16. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  arv njema
   
 17. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na hivi ARV ni feki, we gonna miss u soon kinyesi, ila endelea kuhudhuria jukwaa hadi ukose nguvu ya kubonyeza button
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Nitapima nitakapo taka kuoa.
   
 19. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ungoje kurutubisha ardhi
   
 20. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli nimejichekea, utafikiri ni mazuri. Ukimwi mwema!!!
   
Loading...