Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Duuh! Ndo sura yake ilivyo!!!? Mi leo ndo mara ya kwanza kuiona aisee![]()
Kuna huyu mwengine ndo nimemwona juzi kwa mara ya kwanza
Duuh! Ndo sura yake ilivyo!!!? Mi leo ndo mara ya kwanza kuiona aisee![]()
Kuna huyu mwengine ndo nimemwona juzi kwa mara ya kwanza
Umeangilia uhuru wa mtu binafsiunafungwa kwa kifungu kipi na ibara ipi
Kwanza napenda kujua sheria ya utangazaji, kama inaruhusu kuvaa maski wakati wa kutangaza?Lile mask analolivaa sudi brown ukimvua kiutani utani au kikweli kweli unafungwa?
Hilo swali gumu sana kuna jamaa aliulizwa na Mhe Lissu akabaki anasema ajui mara hapanaKwa kutumia sheria ipi?
Picha yake ipo, demu wake aliziweka live insta.Hivi ina maana watu hawajui anapoishi Sudi au?
Na kama wanajua hawamtembelei?
Na kama wanamtembelea ,muda wote kavaa mask tu?
Na kama kavaa mask ,je hamna hata kapicha chochote alichopiga kabla hajaanza kuvaa hilo li mask?
Huyo hapo ana sura ya kishoga
Broo kakudanganyaaa![]()
Kuna huyu mwengine ndo nimemwona juzi kwa mara ya kwanza