Ukimuona: Christian Bella

Ukimuona: Christian Bella

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,743
Kama kuna wimbo diamond alipatia sana ni ukimuona... Melody nzuri, beat nzuri na mashairi mazuri jamaa inabidi arudi kwa producer wa manecky.
Sasa leo nimesikia guiter version kaimba bella ni tamu ajabu mashairi na melody ile ile.
Huu wimbo mkali sana
 
Yah kaurudia anaimba huku akipiga guiter kaongezea na maneno yake ya kilingara jamaa ana sauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom