Ukimtongoza Mwanamke na ukakataliwa huwa unakuwa na mtazamo gani juu yake?

Kukataa ni haki yetu ya kikatiba, ila sisi kukataliwa ni marufuku.... mwanamke akikutaka halafu ukatae wewe utakua ni adui mkubwa.
 
Uko sawa mkuu,,, Maisha hayataki stress zisizo na msingi...

Ukiona demu unayetaka anaonekana hana same vibe piga chini haraka sana.. Japo baadae huwa wanarudi wenyewe
Exactly mkuu na hiyo ndio principle yangu. Aftaroo wanawake wako wengi saaana mitaani so hakuna haja ya kupambana sehemu ambayo haieleweki.

Mimi utaratibu wangu hua nahakikisha kila wakati nna wanawake wa 3 - 5 naendelea kuchombeza. Akizingua mmoja nam drop napick mwingine fasta. Katika hao watano nikifanikiwa kula wawili au hata mmoja nna hasara gani?
 
Kukataa ni haki yetu ya kikatiba, ila sisi kukataliwa ni marufuku.... mwanamke akikutaka halafu ukatae wewe utakua ni adui mkubwa.
Binafsi mwanamke akinitongoza hua naona huruma sana kumkataa. Hua nawaza jinsi ambavyo amejikakamua, muda ambao ametumia ku plan, jinsi ambavyo ameshafanya "riheso" daaah.. naona bora tu nikubali. 😀😀
 
Kuna mwanaume ukimkataa anaanza kujivictimize. Utasikia au unaniona mimi Sina hela?
Ukikataliwa kubali yaishe
 
Binafsi mwanamke akinitongoza hua naona huruma sana kumkataa. Hua nawaza jinsi ambavyo amejikakamua, muda ambao ametumia ku plan, jinsi ambavyo ameshafanya "riheso" daaah.. naona bora tu nikubali.
 
Kutongoza ni sawa na kubet

Kuna kula au kuliwa

Yote kwa yote kukataliwa au kukubaliwa ni sehemu ya maisha
 
Back
Top Bottom