Ukimsikiliza Jumanne Kishimba mbunge wa Kahama, unajua kwanini Musukuma anawadharau wasomi wetu

Naongelea hii sentence yako ya mwisho(bolded).
Heshima ina pande zote mbili....Darasa la Saba aheshimu Wasomi wene degrees zao na wenye Degrees waheshimu Class 7! Sijasikia Ptofessor au Doctor Bungeni akiwatukana Class 7! Kuna tatixo hapa na linatengenezwa na Spika Ndugai na Naibu wake....they supposed to reverse this situation!
Hoja yako nzuri sana mkuu. Kuna maprofesa wengi sana washapota bungeni na wengine wakiwa ni mawaziri pia.

Nikiwataja wachache enzi za Mkapa kuja kwa JPM kuna
Prof. Mkulo, Prof. David Mwakyusa, Prof. Magembe, Prof. Mwandosya, Prof. Mwalyosi, Prof. Sarungi; enzi hizo mijiadala ilijikita kwenye hoja na hapakuwa na "kupakana matope". Watu waliheshimiana kwa misingi ya utu na mijadala ilibaki kwenye dhana ya mijadala.

Baada ya kuja msomi mmoja wa dunia, dunia inamjua na Africa kwenye oil na gas, hapo ndipo kizungumkuti kilianza; yule jamaa sio tu anadharala la 7; ni kama wenye elimu chini ya PhD hawana "akili" za kumshauri. Ikafikia wakati anaita wengine kama una mtaji wa kuuza juice usisogelee aina fulani ya uwekezaji.
Waingereza wanasema you reap what you saw, life reciprocates, what goes around comes around. Pale Prof. anaejua kila kitu na asieshaurika alipoanza kuwadharau darasa la 7; nao kwa akili yao ya kawaida, hawakuwa na staha ya kuheshimu academic credentials zake na utu wake pia.
Fuatilia mijadala, in most cases huyu anaetajwa amekuwa rejea ya watu wengi "kutomkubali";

Na kama angesikiza hoja zao akiwemo huyo darasa la 7 ana aka-solve masuala yao, bila shaka angekuwa na hadhi kubwa na command kama professional ambae ni problem solver ya wale darasa la 7. Na kuna watu waliishia la 7 miaka ile sio kwamba upstairs walikuwa wachovu; hapakuwa na nafasi za sekondari kama fursa ya kuanza kupata mwangaza kwenye ufahamu. Ndio maana enzi hizo shahada kwa mwaka kwa vitivyo watu sio zaidi ya 100; wanachuo wote wanafahamiana.

Kama angejenga msingi wa kuheshimu utu kama wale wengine wote niliowataja kule juu, sidhani kama tungefika hapa kama taifa.

Sina maana tuwadharau ma-prof, napenda kuheshimu mtu na utu; naheshimu sana academic credentials; ila tujifunze historia kwanini zamani tuliishi sio kwa wingi wa vyeti na sasa tunaulizana mwenzangu/mwenzetu amekanyaga umande kiasi gani??
 
Kabla ya kuwadharau wasomi tuanze kwanza na mfumo uliotumika kuwapika hawa wasomi..

90% ya wasomi wetu wengi wametokana na elimu hii inayotolewa hapa kwetu, kuanzia msingi mpaka vyuo vikuu.....Kama tatizo lipo kwa wasomi wetu wengi basi tuanzie kwanza na elimu wanayosoma, je ina kidhi vigezo vya kidunia kwa sasa...?
 
Hoja yako nzuri sana mkuu. Kuna maprofesa wengi sana washapota bungeni na wengine wakiwa ni mawaziri pia.

Nikiwataja wachache enzi za Mkapa kuja kwa JPM kuna
Prof. Mkulo, Prof. David Mwakyusa, Prof. Magembe, Prof. Mwandosya, Prof. Mwalyosi, Prof. Sarungi; enzi hizo mijiadala ilijikita kwenye hoja na hapakuwa na "kupakana matope". Watu waliheshimiana kwa misingi ya utu na mijadala ilibaki kwenye dhana ya mijadala.

Baada ya kuja msomi mmoja wa dunia, dunia inamjua na Africa kwenye oil na gas, hapo ndipo kizungumkuti kilianza; yule jamaa sio tu anadharala la 7; ni kama wenye elimu chini ya PhD hawana "akili" za kumshauri. Ikafikia wakati anaita wengine kama una mtaji wa kuuza juice usisogelee aina fulani ya uwekezaji.
Waingereza wanasema you reap what you saw, life reciprocates, what goes around comes around. Pale Prof. anaejua kila kitu na asieshaurika alipoanza kuwadharau darasa la 7; nao kwa akili yao ya kawaida, hawakuwa na staha ya kuheshimu academic credentials zake na utu wake pia.
Fuatilia mijadala, in most cases huyu anaetajwa amekuwa rejea ya watu wengi "kutomkubali";

Na kama angesikiza hoja zao akiwemo huyo darasa la 7 ana aka-solve masuala yao, bila shaka angekuwa na hadhi kubwa na command kama professional ambae ni problem solver ya wale darasa la 7. Na kuna watu waliishia la 7 miaka ile sio kwamba upstairs walikuwa wachovu; hapakuwa na nafasi za sekondari kama fursa ya kuanza kupata mwangaza kwenye ufahamu. Ndio maana enzi hizo shahada kwa mwaka kwa vitivyo watu sio zaidi ya 100; wanachuo wote wanafahamiana.

Kama angejenga msingi wa kuheshimu utu kama wale wengine wote niliowataja kule juu, sidhani kama tungefika hapa kama taifa.

Sina maana tuwadharau ma-prof, napenda kuheshimu mtu na utu; naheshimu sana academic credentials; ila tujifunze historia kwanini zamani tuliishi sio kwa wingi wa vyeti na sasa tunaulizana mwenzangu/mwenzetu amekanyaga umande kiasi gani??

Umejenga hoja vzr sana.
Laiti hawa jamaa Wakuu wa pale mjengoni wangelipitia hapa wapate Haya madini.
CC: Spika Job Ndugai.
CC: N/Spika Tulia Ackson.
CC: PM Majaliwa Majaliwa.
CC: Waziri-OR- Jenista Mhagama.
 
Ninaowateua Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Box
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akiwa Kondoa, Aliongea Kuhusu Maji, 2020

Hatuwezi Kuwasaidia Wananchi Wetu Kuhusu Changamoto Ya Maji Hapa Bahi Kwa Yale Tuliyosoma, Details Design,

Tuchukue Caterpillar Tuchimbe Bwawa Kubwa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akiwa Bahi 2021

ALIKUWA ANAJIPENDEZESHA KWA MKE WA NDUGAI DED WA BAHI!!!
 
Back
Top Bottom