Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,374
hata maneno haya hayaonyeshi umahili wowote,mwandishi ka- challenge wewe unasusa mwandishi hajakosea.Kama walioishia Darasa la Saba,wanauwezo mkubwa kuriko wanazuoni wenye shahada na kuendelea,Basi waende kwenye zahanati zote wawe madakitari(maana Kuna upungufu),waboreshe kilimo Cha sukari,mafuta,maana wengi wako huko na hayo mazao Bado tunaagiza kutoka nje,
Waje watuanadalie utafiti jinsi ya kuondoa tatizo la ajira.
Ukienda Mloganzira,Muhimbili,Bugando,Itakuwa vzr Hawa Darasa la Saba tuwaachie ofisi na shughuri za kibingwa wafanye wao.