To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,253
- 34,633
SawaMimi tena!? Mbona unanisingizia
SawaMimi tena!? Mbona unanisingizia
Mleta uzi mambo gani haya kutiana genye hlf usemi upo kundi gani hapoIle ndo mnaita sex drive....
Kuna watu wanapenda kulana daily...weekend mara3...yaani wako hivyo...sasa akikutana na mtu ambae kimoja cha
Hahahahahaaa ungeziona zilivyo.....Unanyoaje ndevu bana kama hukupenda kuwa mwanaume si ungesema tu.
We libido yako ikoje jidada?Ile ndo mnaita sex drive....
Kuna watu wanapenda kulana daily...weekend mara3...yaani wako hivyo...sasa akikutana na mtu ambae kimoja cha mkwezi amefunga faili mpaka week ijayo inaleta shidaa
Wengine wanaamua kuchepuka ila sio kwamba wanapenda ila aliyenae sasa..
Nyie achaneni na nyege kabisa kama upewi vizuri na sio kwamba hakupi kwa kua hakupendi ni kwa sababu hamu zake sio kama zako aisee hii ni sababu tosha ya kuchepuka bila kujali jinsia.
Ila mkimatch yaani kila mtu anapenda kiberiti kiberiti moto moto
Hapo mtatatua nusu ya migogoro kama ingetokea asilimia 70 mmeshaitatua kabla haijatokea
Ila mkikutana wote wavivu...wakukinukisha...pia mnasonga fresh
Kimbembe ni kwa hawa watu wawili ambao mmoja anapenda na mara nyingi ni mwanaume ndo anapenda kuliko mwanamke
Sasa ukute katika hii combo mwanamke ndo anapenda viumane afu wewe story nyingi aisee utachapiwa na sio kwamba hakupendi hapna
Wanawake kama hawa unaweza ona ni malaya ila hapana hamalizwi vizuri.(TUKIONDOA SWALA LA UCHUMI)
Ni heri mtu yule apatae wa kuendana nae..kwani dunia itakua tamu kwake.
Tafuta Mchepuko ule mema ya duniaNina hii changamoto, mwenzangu (KE) hamu yake ipo chini sana, ukimpa game leo ujue mpaka wiki 3 au 4 na tena akitaka yeye, ukimuonyesha unataka wewe anakupotezea mazima.
Nina mpango wa kuoa mwengine mswahili mwenzangu tupelekeshane mwanzo mwisbo.

Mkuu nilijaribu ila na waste time sana plus unaishi kimitego sana, nataka niweke ndani kabisa. Namkumbuka ex wangu mmoja mtoto wa kizigua nahisi alikua na jini mahaba maana shughuli yake 7 days a week moto juu ya moto.
Atakua anatumia majira huyo(uzazi wa mpango) ndiyo sababuNina hii changamoto, mwenzangu (KE) hamu yake ipo chini sana, ukimpa game leo ujue mpaka wiki 3 au 4 na tena akitaka yeye, ukimuonyesha unataka wewe anakupotezea mazima.
Nina mpango wa kuoa mwengine mswahili mwenzangu tupelekeshane mwanzo mwisbo.
Wewe Malaya kweli atiiMasai dada umetoa shule nzuri, maana watu wenye story za Kupelekeana moto humu tunaonekana kama wote malaya..



Na ukimuoa ukapata safar ya mwezi ujisifie hivyo hivyo nina mke anapenda sexy daily nmemuacha mkoa X.Sex maniac hao
Ukipata gals Yuko hivyo Raha sana kwanza Huwa hawajivungi chezo wanaomba wao wenyewe anytime halafu ktk mechi sio wavivu ni mwendo wa sarakasi tu chumbani kama mkufunzi wa Yoga acha kabisa![]()
Nimuoe wa Nini !?Na ukimuoa ukapata safar ya mwezi ujisifie hivyo hivyo nina mke anapenda sexy daily nmemuacha mkoa X.


