Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
Mkuu we kiazi kweli kweli inaonekana iseee.....inamaana we unaoa mtu ambaye ndo umekutana naye for the first day??? Nyie ndo wale mnauziwa mbuzi kwenye gunia isee.....huna sifa kwanza za kuitwa baharia mpaka hapa
Sijazoea kihivyo, ila at least kuwe na hope kwamba kesho tunaweza kupika kuku,samaki, sasa hiyo means mother house ndo ana allergy na mambo hizo, kuna kupika kweli hapo[emoji2]umezoe kuk,samaki ...eti
nile nje double expenses sawa ukila na watoto au mke atakula kipi kizuri na kitamu kama ulichokulaKama hili limekushinda kujua kabla hujamuoa jiandae kwa mengine mengi!!kama ulijua na ukavumilia basi jilie nje hivyo vyakula ila usisahau kusukutua shombo + jiandae kwa watoto wako kurithi pia
Cc Kingsmann
😂 mama wa misosi unaahiwa jiko mwenyeweSijazoea kihivyo, ila at least kuwe na hope kwamba kesho tunaweza kupika kuku,samaki, sasa hiyo means mother house ndo ana allergy na mambo hizo, kuna kupika kweli hapo[emoji2]
nile nje double expenses sawa ukila na watoto au mke atakula kipi kizuri na kitamu kama ulichokula
Wewe ukiwa husimamishi yeye atakuvumilia? ndugu zake watamshauri akuvumilie?
[emoji3] [emoji3] Harufu sasa nikiwa nakorofisha vitu ,si atanitimua mother house ,yaani nyie mtakua kama sungura tu,miaka yote[emoji3][emoji23] mama wa misosi unaahiwa jiko mwenyewe
Apambane na hali yake[emoji23]Kama hili limekushinda kujua kabla hujamuoa jiandae kwa mengine mengi!!kama ulijua na ukavumilia basi jilie nje hivyo vyakula ila usisahau kusukutua shombo + jiandae kwa watoto wako kurithi pia
Cc Kingsmann
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyooo ni chaguo lakoooo[emoji443][emoji444][emoji445]
kuna kuficha huwa wanasema akijua baada ya kukuoa hawezi kukuacha mtavumiliana unasemaje kwa hilo
Inawezekana vipi?. Yaani mmeanza date, mmeingia kwenye uhusiano then uchumba finally ndoa kitu kidogo hivyo unashindwa nini kujua?
Unataka kusema kwamba mlikuwa hamtoani out? Hamtembeleani?
Au umeandikaje andikaje?
Ha ha ha umenichekeshaMpandishe cheo tu awe mke mkubwa...