Ukimpata mke wa aina hii utafanyaje

Ukimpata mke wa aina hii utafanyaje

kipenda roho ula nyama mbichi mwanaaaa
sasa kama kweli mtima umehatamia kwake, basi hauwezi kushindwa mtihani mdogo kama huo jamaa.
jaribu vyakula vingine ambavyo mtaweza kula bila kuleta matatizo.
mfano; viazi mbatata, mihogo, kunde njegere, spinachi, mchicha, makande, ubwabwa, maboga mzee yani ilmradi usimpoteze au unasemaje?
 
Kama umeoa hujawahi kutana na changamoto, kama hujaoa pole kaza buti na hili fundisho kwako utamchunguza mwanamke na akijificha utakayo yakuta utakumbuka ulichowahi kukisoma humu utaelewa tu
Mkuu we kiazi kweli kweli inaonekana iseee.....inamaana we unaoa mtu ambaye ndo umekutana naye for the first day??? Nyie ndo wale mnauziwa mbuzi kwenye gunia isee.....huna sifa kwanza za kuitwa baharia mpaka hapa
 
Anaficha yote usiyajue mkitoka out anaagiza keki soda au wali nyama ukimwambia kuku hataki anasema wanakula sana kwao si unajua tena maana anahisi ni kigezo kinaweza kukatisha tamaa usimchukue, basi yakawa hivyo
Doh! Basi pole
 
Ukihamu kula ivyo vyakula pika mwenyewe..ingawa bidada alikosea Sana kukuficha
Huyu jamaa muhuni tu isee we muda wote ambao alikuwa naye walikuwa wanakula ugali na mchicha tu??? Au chai na mikate??
 
Duuh,sasa yeye duniani anakula nini kama mambo mazuri kama kuku,samaki hali bora maharage na misumari hata asipokula freshii

Ila mpaka mnaoana usijue kweli mwenzi wako anavitu gani extra na unajipima kama utaweza kuvumilia,[emoji30] acheni ndoa za kushtukiziana fahamianeni vizuri kwanza ,kile ni kifungo ohooo tena si cha miaka kadhaa kwamba utatoka, ni cha maisha[emoji3]
 
Wacha akale ugali na mchicha kila siku
 
Anaficha yote usiyajue mkitoka out anaagiza keki soda au wali nyama ukimwambia kuku hataki anasema wanakula sana kwao si unajua tena maana anahisi ni kigezo kinaweza kukatisha tamaa usimchukue, basi yakawa hivyo
How????????????Hizo date ni ngapi mpaka ufikie kumuoa mtu ambae humfahamu kiasi hicho?
 
Huyooo ni chaguo lakoooo[emoji443][emoji444][emoji445]
 
yaani Enzi hizi za Internet,kitu chochote kupika sio tatizo kabisaa..WHAT NONSENSE!!
 
How????????????Hizo date ni ngapi mpaka ufikie kumuoa mtu ambae humfahamu kiasi hicho?
Umewahi kushuhudia watu wangapi walio amua kuoana baada ya miezi michache mpaka 3 wakaoana au chini ya hapo au zaidi ya hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom