Ukimpata mke wa aina hii utafanyaje

Ukimpata mke wa aina hii utafanyaje

Marehemu Rais wa Zimbabwe alipokutana na Sally ambaye ni mke wa kwanza walizaa mtoto mmoja, mtoto huyo akafa badae alishindwa kuzaa kutokana na tatizo la Ini,lilimsumbua sana, Mugabe akasema Mama yangu mzazi ananisumbua sana anahitaji kuona wajukuu anasema hataki kufa kabla hajaona wajukuu, ndugu zake vile vile walimsema sana ndio ikabidi aanzishe mahusiano na
Mkuu amka ..toka ndotoni. Utakua unaota.
Nikiamka niende wapi
 
Wewe ukiwa husimamishi yeye atakuvumilia? ndugu zake watamshauri akuvumilie?
hili nalo swali pia, kwa hiyo atatafuta wa kumridhisha au maana sijui ni kwa kiasi gani mwanamke anaweza akaamua asiwe kabisa na mwanaume wa kufanya naye mapenzi maisha tofauti na magonjwa kumzuia au pepo wachafu
 
Unaomba ridhaa ili iweje..yeye anastukia tu kuna mwenzie
kazikwake...abaki au asepe....
Aisee huko ni kumkatili unajua inavyouma sana kwake ataona kama dharau vile, ni vema ukamuomba ukamuelimisha ukamuweka huyo mwingine mbali sana labda
 
Aisee huko ni kumkatili unajua inavyouma sana kwake ataona kama dharau vile, ni vema ukamuomba ukamuelimisha ukamuweka huyo mwingine mbali sana labda

Vyote the same..kwanza kuoa kiafrica sio lazima ndoa...
hata mchepuko wa kudumu uliozaa nao ni 'mkeo' kiafrica
 
Inawezekana vipi?. Yaani mmeanza date, mmeingia kwenye uhusiano then uchumba finally ndoa kitu kidogo hivyo unashindwa nini kujua?
Unataka kusema kwamba mlikuwa hamtoani out? Hamtembeleani?
Au umeandikaje andikaje?
Hatari sana wapenzi hawajawahi kula pamoja hawa mpaka ndoa.
 
Sababu hujampendea aina ya chakula alacho, basi pambana na hali yako, mpe atakacho...
Au na nye..ge zinamdhuru?
Wana Jamvi,

Mfao umempata mke umeoa hajawahi kwambia kuwa huwa hali KUKU, MAHARAGE, SAMAKI, DAGAA NA NYANYA CHUNGU. anasema akila anawashwa mwili mzima na kutapika hapo hapo hata harufu ya hivyo akiisikia tu anaanza kusikia kichefuchefu. utafanyaje ukizingatia ndio mmeshafunga ndoa. hii inamaana kuwa hawezi kupika vyakula hivyo akikupikia basi ile harufu tu inamdhuru.

unafanyaje hapo (ulimpeleka hospitali imeshindikana, wamempa dawa za allergy bado tatizo liko palepale).

 
Jamaa hajui autingi na mpenzi
Inawezekana vipi?. Yaani mmeanza date, mmeingia kwenye uhusiano then uchumba finally ndoa kitu kidogo hivyo unashindwa nini kujua?
Unataka kusema kwamba mlikuwa hamtoani out? Hamtembeleani?
Au umeandikaje andikaje?
 
Mpeleke Kanisani akaombewe kabla hujamuacha.
Sali, funga na kuomba mara kwa mara.
 
chakula hicho kunukia ndani kwenu ndio tatizo tu na usile huko nje ukaja na shombo ya samaki mbaya kwake
Sababu hujampendea aina ya chakula alacho, basi pambana na hali yako, mpe atakacho...
Au na nye..ge zinamdhuru?
 
Muda Wote Wa Uchumba Mlikuwa Mnajipikilisha Makopo?
wachumba huficha mengi sana, ukioa ajabu unaoa ambaye kikwapa mmoja wenu anacho, harufu kali baada ya tendo, maji bweleleee unafanyaje ni udhaifu pia
 
Mh haya yameanzia kwao isitoshe ni msichana ambaye sidhani kuwa anawajua waganga ila ansema miaka ya nyuma alikuwa anakula vyote ilitokea tu siku moja basi akila inakuwa mbaya kwake
MASHARTI YA MGANGA kijana kayakosea mwenyewe
 
Mtoa mada anahisi humu wamejaa watoto I see
Kama umeoa hujawahi kutana na changamoto, kama hujaoa pole kaza buti na hili fundisho kwako utamchunguza mwanamke na akijificha utakayo yakuta utakumbuka ulichowahi kukisoma humu utaelewa tu
 
Ukihamu kula ivyo vyakula pika mwenyewe..ingawa bidada alikosea Sana kukuficha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom