Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Wana Jamvi,
Mfao umempata mke umeoa hajawahi kwambia kuwa huwa hali KUKU, MAHARAGE, SAMAKI, DAGAA NA NYANYA CHUNGU. anasema akila anawashwa mwili mzima na kutapika hapo hapo hata harufu ya hivyo akiisikia tu anaanza kusikia kichefuchefu. utafanyaje ukizingatia ndio mmeshafunga ndoa. hii inamaana kuwa hawezi kupika vyakula hivyo akikupikia basi ile harufu tu inamdhuru.
unafanyaje hapo (ulimpeleka hospitali imeshindikana, wamempa dawa za allergy bado tatizo liko palepale).