Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,102
Mie hukopesha vifaa vya electronics km tablet, laptops,printers etc. Walipaji wazuri na kwa wakati ni wanawake.Labda nyie huwa mnawakopesha huku mnawatongoza!
Huu ni ushauri wangu kwa wanaume wote, ushauri huu unakuja baada ya kufanya uchunguzi na kubaini kuwa wanawake wana wazurum sana wanaume kwenye masuala ya pesa.
Hapa sizungumzii wapenzi kwani najua wazi kuwa wapenzi hupeana tu japo wapo wapenzi wachache sana ambao hukopana pesa.
Ndugu yangu, akija kwako mwanamke awe rafiki sana, awe jirani yako tu, mwanafunzi mwenzako, hata mfanyakazi mwenzako akisema nikopeshe pesa ''USIMPE''
Wanawake wengi hupenda kukopa kwa wanaume kwakuwa wanafahamu fika, wanaume huwa wanaona aibu sana kuwadai wanawake na hata kama utamdai basi ni mara moja kwa mwezi hivyo ni sawa na kumdai mara kumi na mbili kwa mwaka.
Fikiria, mwanaume mwenzio tu tena rafiki yangu anavyokusumbua kulipa pesa, leo hii umkope mwanamke, kweli?
Ukikutana na mwanamke mwenye huruma hela yako hakupi ng'oooo atakachokusaidia ni kukupa PAPUCHI tu hata kama unamdai milioni nne. Ukikutana na mwenye roho mbaya, pesa yako hupewi na papuchi hupewi vile vile.
MSIJE SEMA SIKUSEMA, MTAKUJA KULIA HAPA jf NA MTAYAKUMBUKA MANENO YANGU.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Last edited by a moderator: