Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

Kweli ata mi nishawai kulizwa ila kuna dada hadi leo namkumbuka alikuwa mwaminifu sana kwanza alianza yeye kunikopesha nikamzungushaaa badae nkamlipa baadae nae akanikopa nkajua basi lakini cha kushangaza mda alipopata ela akanilipa kama alivoahidi toka siku iyo nkampa heshima yake nkiona haeleweki tu namuulza nkukopee maana najua analipa, gud gal eva!
 
saawa ina tegemea na makubaliano ya mkopo ila wadada wengne wahajui kuomba ivyo anaomba kwa gia hyo so hata mie ckulp we unavyonila unaona utamu ee
 
Dah! Nilimkopesha dada mmoja kilo Saba, akanilipa zote baada ya miezi 3. Then akaja kunikopa tena kilo mbili, nikampa bila wasiwasi, aisee alirudisha elfu sabini tu, zingine kapotea nazo. Yule binti alibadili hadi namba.
 
Mmh... kuna janaume moja nililikopesha nilikua nalifahamu nilifanya nae kazi. Alikua kwenye majanga ya kupigiwa mnada gari lake. Akaunga unga kukopa huku na huku tukamsitiri. Aliwalipa wanaume wenzie tu, mie nikimdai ananiletea mapenzi.... alinichefua!!!
Loh...! Ile hela bora ningeenda kuwapa walevi walewe. Ila Mungu kamlaani na utapeli wake, madeni yalimzidi sahivi kachokaaa. Na harudi kwenye chati ng'o hadi anilipe.
 
japo naamini si wote lakini percent kubwa ya wanawake hasa wadada huwa wanasumbua kulipa madeni kama amekopeshwa na mwanaume kweli.

Mwingine atakujengea ukaribu makusudi ili umgegede na ukifanya kosa hilo ndo hutokaa umdai kamwe
 
Pole mamii
 
c bora umgegede.....wengne hupat papuch wala hela....mm hapana kopesha dem bora nimpee tu
 
Mmh... kuna janaume moja nililikopesha nilikua nalifahamu nilifanya nae kazi. Alikua kwenye majanga ya kupigiwa mnada gari lake. Akaunga unga kukopa huku na huku tukamsitiri. Aliwalipa wanaume wenzie tu, mie nikimdai ananiletea mapenzi.... alinichefua!!!
Loh...! Ile hela bora ningeenda kuwapa walevi walewe. Ila Mungu kamlaani na utapeli wake, madeni yalimzidi sahivi kachokaaa. Na harudi kwenye chati ng'o hadi anilipe.

anakutaka uyooooo.....ebu jifany uko kwa love nae uone kama hajakulipa na nyongezaaaaaaa
 
Inategemea na mahusiano yenu wkt mnakopeshana, mm USO wa MBUZI, hapa ofisini nawakopesha na wanarudisha kbl hata cjadai!
 
Kuna dem fulani ofisi jirani niliingiza cd ikaanza kusoma,eeeeh! Akaniambia niazime kilo ntakurudishia end of month.
Alitaka nikimpa mkwanja ndo aseme apointment lini,nikatafakariiiiiiiii
,nikaona nikimpa akininyima shimo lisilojaa ntamdai vipi?
Akinipa ndiio kaniuzia kwa laki.
Nikaona bora nikae kando tu.
Sasa akiniona anabaki kusema weweee mbona kimyaaa?
Mwanamke na hela?
 
Ni kweli. Mimi nilimkopesha dada Stela,elfu 50,akasema angerudisha,lakn sasa miez 7
 
saawa ina tegemea na makubaliano ya mkopo ila wadada wengne wahajui kuomba ivyo anaomba kwa gia hyo so hata mie ckulp we unavyonila unaona utamu ee

akikula x inapata utamu na y inapata pia so inajicancel, kama kuna deni la hela linabaki palepale inabidi ulipe
 
Huu ni ushauri wangu kwa wanaume wote, ushauri huu unakuja baada ya kufanya uchunguzi na kubaini kuwa wanawake wana wazurum sana wanaume kwenye masuala ya pesa.

Hapa sizungumzii wapenzi kwani najua wazi kuwa wapenzi hupeana tu japo wapo wapenzi wachache sana ambao hukopana pesa.

Ndugu yangu, akija kwako mwanamke awe rafiki sana, awe jirani yako tu, mwanafunzi mwenzako, hata mfanyakazi mwenzako akisema nikopeshe pesa ''USIMPE''

Wanawake wengi hupenda kukopa kwa wanaume kwakuwa wanafahamu fika, wanaume huwa wanaona aibu sana kuwadai wanawake na hata kama utamdai basi ni mara moja kwa mwezi hivyo ni sawa na kumdai mara kumi na mbili kwa mwaka.

Fikiria,
mwanaume mwenzio tu tena rafiki yangu anavyokusumbua kulipa pesa, leo hii umkope mwanamke, kweli?

Ukikutana na mwanamke mwenye huruma hela yako hakupi ng'oooo atakachokusaidia ni kukupa PAPUCHI tu hata kama unamdai milioni nne. Ukikutana na mwenye roho mbaya, pesa yako hupewi na papuchi hupewi vile vile.

MSIJE SEMA SIKUSEMA, MTAKUJA KULIA HAPA jf NA MTAYAKUMBUKA MANENO YANGU.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

kaka umesema sahihi kabisa kwani mie nina mifano hao, nikiwa mkwawa secondary miaka hiyo ilikuwa ni A-level tu, kwa kweli ikifika likizo utakuta akina dada ( Gembe's tulivyokuwa tunawaita) hawajatumiwa telegram,( T.M.O) basi atakuja kwako na kujililia kwamba anaomba nauli na atarudisha siku akirudi toka likizo, sasa mziki unakuja pale kesharudi, ataonyesha dalili zote za kukupa papuchi usahau pesa yako, kila ukienda ni full kalenda, mkikutana kwa bwalo la chakula bado utaona unarembuliwa macho, mwishowe unaona potelea mbali unadumbukia zako makanyagio unajisevia papuchi ukitoka hapo huombi tena hela yako, kinachobaki sasa ni kupigwa mizinga tu
 
ni kweli mkuu. mpaka sasa tokea january sijarudishiwa na tunawasiliana frequently.
 
Wenye wadaiwa sugu wa kike/kiume Tafadhali wanikabidhishe mimi.Mimi ni professional wa kudai. Malipo 50/50

QUOTE=CHIPS DUME;10509157]Huu ni ushauri wangu kwa wanaume wote, ushauri huu unakuja baada ya kufanya uchunguzi na kubaini kuwa wanawake wana wazurum sana wanaume kwenye masuala ya pesa.

Hapa sizungumzii wapenzi kwani najua wazi kuwa wapenzi hupeana tu japo wapo wapenzi wachache sana ambao hukopana pesa.

Ndugu yangu, akija kwako mwanamke awe rafiki sana, awe jirani yako tu, mwanafunzi mwenzako, hata mfanyakazi mwenzako akisema nikopeshe pesa ''USIMPE''

Wanawake wengi hupenda kukopa kwa wanaume kwakuwa wanafahamu fika, wanaume huwa wanaona aibu sana kuwadai wanawake na hata kama utamdai basi ni mara moja kwa mwezi hivyo ni sawa na kumdai mara kumi na mbili kwa mwaka.

Fikiria,
mwanaume mwenzio tu tena rafiki yangu anavyokusumbua kulipa pesa, leo hii umkope mwanamke, kweli?

Ukikutana na mwanamke mwenye huruma hela yako hakupi ng'oooo atakachokusaidia ni kukupa PAPUCHI tu hata kama unamdai milioni nne. Ukikutana na mwenye roho mbaya, pesa yako hupewi na papuchi hupewi vile vile.

MSIJE SEMA SIKUSEMA, MTAKUJA KULIA HAPA jf NA MTAYAKUMBUKA MANENO YANGU.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom