Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

i'm a victim,mimi demu kanikopa hela almost 2yrs now na hadi waleo simu yake haiingi,imebidi niziondoe kwa budget yangu
 
kukopeshana hela na mtu chanzo cha ugomvi tu.
 
Da hiyo kweli wadau ukimkopesha mdada kikulipa hua ni kazi kwelii mwenyewe kuna dada namdai tangu mwezi wa tatu hadi leo kila.siku bado hajapata nahisi kuacha kuidai tena
 
Sio wanawake tu, hata walokole wakifuatiwa na waalimu na wauguzi. pia makundi haya yanasumbua kulipa.
Huu ni ushauri wangu kwa wanaume wote, ushauri huu unakuja baada ya kufanya uchunguzi na kubaini kuwa wanawake wana wazurum sana wanaume kwenye masuala ya pesa.

Hapa sizungumzii wapenzi kwani najua wazi kuwa wapenzi hupeana tu japo wapo wapenzi wachache sana ambao hukopana pesa.

Ndugu yangu, akija kwako mwanamke awe rafiki sana, awe jirani yako tu, mwanafunzi mwenzako, hata mfanyakazi mwenzako akisema nikopeshe pesa ''USIMPE''

Wanawake wengi hupenda kukopa kwa wanaume kwakuwa wanafahamu fika, wanaume huwa wanaona aibu sana kuwadai wanawake na hata kama utamdai basi ni mara moja kwa mwezi hivyo ni sawa na kumdai mara kumi na mbili kwa mwaka.

Fikiria,
mwanaume mwenzio tu tena rafiki yangu anavyokusumbua kulipa pesa, leo hii umkope mwanamke, kweli?

Ukikutana na mwanamke mwenye huruma hela yako hakupi ng'oooo atakachokusaidia ni kukupa PAPUCHI tu hata kama unamdai milioni nne. Ukikutana na mwenye roho mbaya, pesa yako hupewi na papuchi hupewi vile vile.

MSIJE SEMA SIKUSEMA, MTAKUJA KULIA HAPA jf NA MTAYAKUMBUKA MANENO YANGU.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Daaaah jamani mi nimetoka kumpa mfanya kazi mwenzangu kilo nzima kabisa nakutana na uzi kama huu tena hapa! Majanga
 
Mwenyewe nilikopwa na demu flani mpaka leo kanipiga pending!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hujakosea mkuu!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ukishamkopesha ikifika siku thelasini hajakulipa, then hapo unacheza tu na vitabu vya accounts. Una Credit bad debt account then una debit expense account... Unaaachana naye unatafuta mpunga mwingine...
 
Ni kweli kabisa.... Duh nishapigwa za kutosha...... Sasa utu uzima umeingia akili inafanya kazi vema.
 
Ukishamkopesha ikifika siku thelasini hajakulipa, then hapo unacheza tu na vitabu vya accounts. Una Credit bad debt account then una debit expense account... Unaaachana naye unatafuta mpunga mwingine...

dah kirahosi hivyo? kudhulumiwa kunauma aisee!!
 
Ukishamkopesha ikifika siku thelasini hajakulipa, then hapo unacheza tu na vitabu vya accounts. Una Credit bad debt account then una debit expense account... Unaaachana naye unatafuta mpunga mwingine...

hahahaaa kinachotakiwa ukimkopesha mkubaliane malipo yafanyike kwa calls. anaanza first call unarecord , halafu akishindwa kunakoendelea unamfofete halafu una reissue kwa wengine. apo lazima yeye aliwe.
 
Back
Top Bottom