Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

mwanaume mwezangu nipo radhi ata nimpe tuu na sio kukopesha. ila mwanamke leta papuchi ndio upate hela na sitakudai
 
Huu uchunguzi huru au uchafuzi huru? Unataka tusikopeshwe? We kama hutaki kaa na mahela yako bwana wengine waendelee kutukopesha
 
Ok mwache yeye amkopeshe wengine tutabeba jukumu la kumpa pocket money demu wake. Naona umechangia bila kujielewa.

Nimechangia bila kujielewa kivipi? Inategemea anataka hela kiasi gani....pocket money sawa lakini anaweza akahitaji pesa kiasi kikubwa kwaajili ya jambo kubwa kwa nini usimkopeshe?
 
Si kweli bana wanawake tuna aibu ya kulipa hatupendi masimango,ukikuta hujalipwa deni lako jua kuna kitu si kizur ulimfanyia huyo mwanamke naye ndo kaamua kujilipa kwa hivyo.
 
umenikumbusha wkt nipo chuo kuna dem nilikua namfukuzia akawa ananinyima papuchi xaxa akatumia kigezo hicho kunikopa 50000 nikampa baada ya hapo ili kulipa dem akakubali nikamtumia ipasavyo nikala papuchi mpaka ikanikinai nilipotaka kumuacha na yy nikamkopa 100000 ...so nikawa nimekula papuchi na faida ya elfu 50000
 
hilo ni kweli, lkn mara nyingine kwa usumbufu wao ama kuona wewe umemnyima hali ya kuw a uwezo unao, dawa ni kumpa nusu ya ile aliyokukopa hapo umepunguza lawama toka kwake na pia huyo kama ana tabia ya kukopa na harudishi ndio umemfukuza kabisa aibu inabaki kwake.
 
Si kweli bana wanawake tuna aibu ya kulipa hatupendi masimango,ukikuta hujalipwa deni lako jua kuna kitu si kizur ulimfanyia huyo mwanamke naye ndo kaamua kujilipa kwa hivyo.

Mwanamke hakopeshwi. Anapewa.
 
Nimechangia bila kujielewa kivipi? Inategemea anataka hela kiasi gani....pocket money sawa lakini anaweza akahitaji pesa kiasi kikubwa kwaajili ya jambo kubwa kwa nini usimkopeshe?

Akakope bank.

M8 simkopeshi mwanamke pesa. Nampa.
 
Heri hata ingekuwa binti binti under 25, mimi imenikuta kwa mama mtu mzima na miaka yake zaidi ya 40! Kakopa buku 20 mpaka leo naisikilizia kwenye ndoto tu!
 
Wanawake wengi ni walipaji wazuri pindi ukiwakopesha...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…