Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

Ni kweli ila kumpata mwanamke wa hivyo ni mbinde sana mkuu, shukuru Mungu we umepata huyo hata ukimshirikisha anakupa ushirikiano.

Wengine ukiwaambi ivo, utaskia we ndo ndo mwanaume sasa unaniluza mi ishu za ujenzi ntajuaje na hapo tayari dharau zitaanza ataanza kukuona we kilaza sasa unaacha kuamua maamuzi kiume yani mpaka umpelekee yeye mshauriane, kumbuka sometimes hawa watu wanapenda kipelekeshwa hata bila sababu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ moment of silence kwa vilazer wote
 
Absolute right! unajibana unajenga kila sent unayopata inapitiliza kwenye ujenzi yeye anafikiria kununua simu mpya ya Tecno. Iliwahi nitokea nahitaji mifuko 30 ya cemnet ili fundi ajenge fensi bei yake kama laki 4 narudi home nakuta wife kanunua seti ya masufuria ya kupikia.
Kwa 7bu hukuzungumza na mkeo,mngezungumza kama alivoshauri mtoa mada asingeweza kununua simu wakati pesa ina jukumu la msingi
 
Acha upuuzi ......wewe kama mwanaume jijenge wewe na maisha yako na watoto wako hao wanawake watakuyummisha na kukufelisha muda wao ukifika so fanya yako maliza kabisa ndio hao wanawake waje wenyewe na muda wao wa kuondoka ukifika wapanggse matako yao vumbi na kubeba mafurushi yao ya nywele bandia na kusepa. sasa wewe endelea kuishi gerezani kwa jina la mapenzi.
Ndo maana twawala haswa wake zenu kwa hizi akili.
 
Ndiyo maana mleta mada amesema suala la KUSHIRIKISHANA, wewe ulikuw ana mipango yako peke yako ukadhani ataisoma akili yako kujua kwmba hela hiyo ni ya kujengea??? Ungemshirikisha akajua kuwa kuna tukio ambalo linahitaji pesa hakika asingenunua sufuria, hata hivyo kwa kununua sufuria hakuwa amefanya jambo baya kama mwanamke anatakiw akuwa na vifaa hivyo maana kuna masuala ya sherehe na misiba (hatuombei) kadhalika yatawahitaji muwe na hivyo ivtu
Unaweza mshirikisha na bado asitembee katika vision yako ndo hayo yaliyonikuta nilimshirikisha na anajua nia ya kujenga fensi ni nini
 
Absolute right! unajibana unajenga kila sent unayopata inapitiliza kwenye ujenzi yeye anafikiria kununua simu mpya ya Tecno. Iliwahi nitokea nahitaji mifuko 30 ya cemnet ili fundi ajenge fensi bei yake kama laki 4 narudi home nakuta wife kanunua seti ya masufuria ya kupikia.


Mkuu, mlimshirikisha mpango wa Kujenga hiyo Fence. Kwa sababu Mleta mada kasema tuwashirikishe.
 
Back
Top Bottom