Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

Upo sahihi kabisa na ulichoandika hata mimi nafanya hivyo hivyo ndiyo maana nina ndoa bora duniani mpaka mbinguni.

Watu wengi wanapenda kujifunza kupitia ndoa yetu....wanaonizunguka.
Haufikii yangu asee šŸ˜
Hadi huwa najiuliza mbona nimependelewa sana. Mungu azidi kumuweka sana huyu mwanaume, ambariki kwa kila namna
 
Umeandika ukweli wako umemaliza.....acha tuparuane hapa,
Uzuri ni kwamba ndoa wala haziko sawa.

Aliemuoa mwajuma ndala ndefu sio sawa nawe ulioa mwanamke wa maana (ukimuambia habari za ustaarabu wa mwanamke wala hatokaa akuelewe kisa kaoa mwajndala ndefu anahisi kila mke yupo hivo)

Alieolewa na chapombe wake nae ukimwambia habari za ustaarabu wa mwanaume hakuelewi vile vile kisa ye kaolewa na famba.

kila mtu ana namna ya kuishi kwenye ndoa yake kwa staili yake na ikafanya kazi vema kabisa, ndio maana mbuzi anaishi kwa majani ila mbwa haishi kwa majani.
 
Sinui hata kama una mke??
Napata mashaka kweli!!

Umemuelezwa modern man lakini hujamuelezea modern woman na udhaifu wake


Oa kwanza huyo modern woman ndo ujue why wanaume wamekuwa wa ajabu
 

Similar Discussions

31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom