Ukimbembeleza sana mwanamke unamkosa

Ukimbembeleza sana mwanamke unamkosa

Ndo uandike gazeti lote hilo

Hatuna kawaida ya kupenda kutunza records leo hii namjua hadi demu wa julius caesar lakini history yetu ya miaka 100 hamna.
 
Kupata silled ni adimu mpaka ukiipata unazuzuka, sikulaumu mdau.. cha msingi mheshimishe huyo bint kama alivokuheshimu kukupa hiyo zawadi, hongera zake 20 yrs hajaguswa?? Muoe mke wa pili chap mwamba.
 
Uko wapi mkuu mbona wapo wengi tena wengine hadi 25 huko
 
Unambembeleza na kumchombeza Mwanamke ukishakuwa umempata.
Na sio ukiwa unamtongoza.
Kubembeleza Wakati unatongoza ni kujionyesha hujiamini, unamlazimisha, hujui kutongoza(kushawishi).

1. Salimia
2. Omba appointment
3. Eleza vile unavyomuona, msifie.
4. Eleza hisia zako jinsi unavyojisikia.
5. Eleza nini atakipata kwako, Mpe ahadi na manano matamu matamu.
6. Eleza akikubali utajihisije
7. Kisha Subiri msimamo wake, eleza kuwa utaheshimu msimamo wake.
Full stop.
 
Kupata silled ni adimu mpaka ukiipata unazuzuka, sikulaumu mdau.. cha msingi mheshimishe huyo bint kama alivokuheshimu kukupa hiyo zawadi, hongera zake 20 yrs hajaguswa?? Muoe mke wa pili chap mwamba.

60% ya wanaume hawatakuja kupata nimetoka kwenye kundi hilo.
 
Una Utovu wa nidhamu dogoo,,, nipasie namba za huyo binti Kama hutojali!!!
 
Mkuu kwa hiyo unataka kuchepuka na bikra alafu inamaana mkeo hukumkuta Bikra umeoa mke wa mtu mkuu ila nisamehe[emoji23][emoji2] la mwisho tosheka na mkeo kama dini aikuruhusu ningekuwa mm ningeongeza mke wa pili.
 
nani anaoa mke bikra wengi tunakuta used labda kwenye nchi za kiislamu zenye maadili, mimi mkristo mke wa pili hapana ila mchepuko sawa.
 
Sijui kama wanasaikolojia wana neno la kitaalamu kwa hii hali, ila katika uzoefu wangu wa mahusiano mwanamke ukimpa sana attention atakusumbua na kama hamjaanza mahusiano basi hata tunda hupati unless ubadirike uwe kauzu.

Mwaka jana january tulipata house girl hatukuwahi kuwa na mpango wa binti familia yetu ndogo na wife yupo home tu ila sababu mama mkwe aliomba tukae naye kwakuwa mtu aliyemtafutia huyo binti hakutaka binti wa kiislamu tukaona sawa tu kwakuwa march nilikuwa na safari ya miezi miwili niliona ampe kampani wife. kabinti kalipokuja kazuri keupe na ushungi muda wote katika maongezi alidai anataka kaa hadi mwezi wa tisa anatafuta ada ajiunge CBE dodoma.

Shida imekuja roho ya kukapenda haka kabinti ikanijia siku moja nikakatongoza hapo iilikuwa mwezi wa 6 tarehe za katikati niliongea naye vizuri akasema nisubiri amalize certificate, pili yeye bikra anajitunza kwa ajiri ya mume wake, tatu nijitambulishe kwao kwanza ndio atanikubalia. kitendo cha yeye kusema bikra ni kama alinichochea moto nimuombe hiyo zawadi adhimu ambayo sijawahi ipata. mwisho akaomba nimpe muda mwezi mmoja atanipa jibu ambayo ni july.

July imefika siku moja tuko sebuleni mimi yeye na wife ghafla akaanza kulia anataka rudi kwao, wife kumuuliza sababu hasemi nikaona akiendelea mbembeleza aseme sababu nitaumbuka, nikamuita wife chemba nikamwambia huyu binti hatukuwa na mpango wa kukaa naye na kwasasa hatumuhitaji bora tumruhusu tu aondoke wife kakubali tukampa nauli na mshahara japo kuwa mwezi haukuisha akasepa.

Toka amerudi kwao miezi miwili imepita sikumtafuta mpaka siku moja ananitafuta yeye kuwa kashaanza chuo nikampa hongera akasema alifikiria jambo langu lakini yeye anamuogopa dada (wife) pia mimi nisipomuoa yeye akija olewa bila bikra atadharaurika nikampa elimu akanielewa january likizo akasema atakuja kunipa zawadi ila anaomba nimsaidie kwenye masomo yake na nisije mtupa nikaona ombi rahisi sana na kwakweli nilimsaidia na zawadi yake alinipa.

Najua sababu ya kuondoka ni mimi kumtongoza na ningeendelea kumbebembeleza ningemkosa kabisa hata huko uliko.
Mke wako ulipomuoa alikua bikra ?
 
Sijui kama wanasaikolojia wana neno la kitaalamu kwa hii hali, ila katika uzoefu wangu wa mahusiano mwanamke ukimpa sana attention atakusumbua na kama hamjaanza mahusiano basi hata tunda hupati unless ubadirike uwe kauzu.

Mwaka jana January tulipata house girl hatukuwahi kuwa na mpango wa binti familia yetu ndogo na wife yupo home tu ila sababu mama mkwe aliomba tukae naye kwakuwa mtu aliyemtafutia huyo binti hakutaka binti wa kiislamu tukaona sawa tu kwakuwa march nilikuwa na safari ya miezi miwili niliona ampe kampani wife. kabinti kalipokuja kazuri keupe na ushungi muda wote katika maongezi alidai anataka kaa hadi mwezi wa tisa anatafuta ada ajiunge CBE Dodoma.

Shida imekuja roho ya kukapenda haka kabinti ikanijia siku moja nikakatongoza hapo iilikuwa mwezi wa 6 tarehe za katikati niliongea naye vizuri akasema nisubiri amalize certificate, pili yeye bikra anajitunza kwa ajiri ya mume wake, tatu nijitambulishe kwao kwanza ndio atanikubalia. kitendo cha yeye kusema bikra ni kama alinichochea moto nimuombe hiyo zawadi adhimu ambayo sijawahi ipata. mwisho akaomba nimpe muda mwezi mmoja atanipa jibu ambayo ni July.

Chai
 
Hahshahaha dah

Haya Hilo nalo mkalitizame
 
Ata huyu?

images (19)(1).jpeg
 
NI UKWELI WANAWAKE UKIWAONYESHA UNAWAJALI SANA NA KUWAPENDA GOODNIGHT , GOOD MORNING,GOOD AFTERNOON WANAKUONA MJINGA WAJANJA WASHAAWACHA SINGLE MOTHERS MTAANI
 
Sijui kama wanasaikolojia wana neno la kitaalamu kwa hii hali, ila katika uzoefu wangu wa mahusiano mwanamke ukimpa sana attention atakusumbua na kama hamjaanza mahusiano basi hata tunda hupati unless ubadirike uwe kauzu.

Mwaka jana January tulipata house girl hatukuwahi kuwa na mpango wa binti familia yetu ndogo na wife yupo home tu ila sababu mama mkwe aliomba tukae naye kwakuwa mtu aliyemtafutia huyo binti hakutaka binti wa kiislamu tukaona sawa tu kwakuwa march nilikuwa na safari ya miezi miwili niliona ampe kampani wife. kabinti kalipokuja kazuri keupe na ushungi muda wote katika maongezi alidai anataka kaa hadi mwezi wa tisa anatafuta ada ajiunge CBE Dodoma.

Shida imekuja roho ya kukapenda haka kabinti ikanijia siku moja nikakatongoza hapo iilikuwa mwezi wa 6 tarehe za katikati niliongea naye vizuri akasema nisubiri amalize certificate, pili yeye bikra anajitunza kwa ajiri ya mume wake, tatu nijitambulishe kwao kwanza ndio atanikubalia. kitendo cha yeye kusema bikra ni kama alinichochea moto nimuombe hiyo zawadi adhimu ambayo sijawahi ipata. mwisho akaomba nimpe muda mwezi mmoja atanipa jibu ambayo ni July.

July imefika siku moja tuko sebuleni mimi yeye na wife ghafla akaanza kulia anataka rudi kwao, wife kumuuliza sababu hasemi nikaona akiendelea mbembeleza aseme sababu nitaumbuka, nikamuita wife chemba nikamwambia huyu binti hatukuwa na mpango wa kukaa naye na kwasasa hatumuhitaji bora tumruhusu tu aondoke wife kakubali tukampa nauli na mshahara japo kuwa mwezi haukuisha akasepa.

Toka amerudi kwao miezi miwili imepita sikumtafuta mpaka siku moja ananitafuta yeye kuwa kashaanza chuo nikampa hongera akasema alifikiria jambo langu lakini yeye anamuogopa dada (wife) pia mimi nisipomuoa yeye akija olewa bila bikra atadharaurika nikampa elimu akanielewa january likizo akasema atakuja kunipa zawadi ila anaomba nimsaidie kwenye masomo yake na nisije mtupa nikaona ombi rahisi sana na kwakweli nilimsaidia na zawadi yake alinipa.

Najua sababu ya kuondoka ni mimi kumtongoza na ningeendelea kumbebembeleza ningemkosa kabisa hata huko uliko.

Ukiwa na kichwa cha habari kizuri ndani usiandike habari za kihunj
 
Back
Top Bottom